Natafta wateja wa jumla wa mahindi kuanzia gunia hamsini na Bei ya mahindi ni 5000 kwa debe kazi yangu ni kumkusanyia atanilipa elfu moja kwa kila gunia na gharama za usafirishaji ni juu yake so...
Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania.
Habari ndugu, jamaa na marafiki...!!
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Louis(Mbezi ya Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa za aina tofauti...
Ni aina ya net ambazo zimekuwa pendwa kwa watu, Hii ni kwa sababu ya muonekano wake maridadi na pia, Ni net ambazo ni rahisi kuinstall na ku-uninstall (Kuiweka na kuitoa)
Zipo size 5*6 na 6*6...
Habari
Kama tunavyojua afya ya jamii ndo msingi wa maendeleo ya taifa,pia ili familia iwe na afya bora ni muhimu familia kupata lishe bora na kamili.
Basi kwa kutambua hilo,tunakuletea bidhaa...
Welcome to Data Expert and General Consultancy Firm
Website: Data Expert and General Consultancy
Email: info@afridataexpert.com
Mobile: +255 785 926 463
Data Expert and General Consultancy...
Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata...
Habari njema kwa wateja wetu wa @unique_aircargo SASA UNAWEZA KUSAFIRISHA MZIGO WAKO KUTOKA CHINA KUJA TANZANIA KWA SIKU MOJA TU[emoji4][emoji6].
Batch ya kwanza ndo inaanza week hii na mwisho...
Anajulika kama Mtanzania wa kwanza kusoma Stanford na Harvard. Al maarufu kama mtanzania aliyekataa mshahara wa zaidi ya 400 ml. Ni yule yule CEO wa Kampuni ya levels za kimataifa --NALA. Ameweza...
Kama kichwa kinavojieleza mm naishi hapa njombe ninaitaji simu used anaeuza please anatafute kwa namba hii 0620860951 shart awe mtu Wa njombe.
Natanguliza shukrani
Sisi wataalam katika kuandaa na kuandika maandiko miradi, maandiko ya kuomba ruzuku/Grants, na pia kukuwezesha kupata volunteers/interns kutoka nje (USA na Canada). Karibu tuzungumze! Pia...
Habari zenu wandugu?
Ninazo tiles zitokanazo na mawe halisi ya Tanga stone (slate stone) yanapatikana kwa kiasi chochote na ninauza kwa squre meter.
Vile vile ninapokea oder kwa design (cutting...
Habari ndugu, nauza kiwanja kipo maeneo ya mji mpya kimara B dar es salaam maarufu "kwa senga"
Kiwanja hakiko square hivyo urefu na upana hauko sawa . Kwa urefu upande mmoja ni 63ft na mwingine ni...
Wakuu Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22
Na naitaji Gari aina ya Fuso
Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara
NB: Itapendeza kama biashara itatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.