Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu Naitaji bidhaa tajwa hapo juu mwenye nazo tafadhari naomba unipm Ni shockup za nyuma Niko dar es salaam, mwenye used na mpya wote tunaweza kuwasiliana
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Kichwa tanjwa hapo juu chajieleza wanajamvi naomba kujua Bei ya transfer paper hapa mjinii na zinapatikana wapii Sana Sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Hino Tipper (Dumper) Repainted 1997 YOM 3.3 Tones 19 millions TSH negotiable Makumbusho Dar es salaam +255714908121
0 Reactions
0 Replies
674 Views
cc 125 petrol engine betri nzima kabisa. ya kuwasha na kuondoka Located at: Mtongani Dar 0683011003
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Gazeti linaloongozwa na kupendwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki hatimaye limerejea mtaani baada ya kukaa nje kidogo ya ulingo kutokana na kutoa taarifa iliyokuwa haina usahihi. Taarifa za...
0 Reactions
7 Replies
666 Views
Hellow wana Jamii Jorums Sisi kama vijana ambao hatuna ajira na hatuna mchongo wowote mtaani basi tubadilike “Wengi hawaheshimu 'vision' (maono) kwa kuwa hawaelewi, wanaoelewa vision ni wenye...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Aina shida yoyote ile,njoo tuyajenge
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, leo nawaletea banda la biashara . Banda hili sifa yake kuu ni movable, lina matairi! so unbaweza ukawa unaligogeza kwenye maeneo unayoyataka lina jiko la Gas kama unavyoona...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tupo Mbezi ya kimara. TUNAFUA NGUO za maharusi Suti Jeans Nguo za kawaida Pamoja na mapazia Aina zote. Tunakausha na kuonyoosha vuzuri(pasi) Pata huduma nzuri . Karibu Sana mshtue na mwingine...
1 Reactions
1 Replies
620 Views
Habari nahitaji eneo dogo la ujenzi, maeneo ya makabe njia panda maeneo hayo hata kama unaingia kidogo siyo mbaya. Sihitaji dalali,budget Milion4 charp No yangu 06521326
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hp probook G4 450 Intel core i7 processor 2.9@Ghz 7th generation Ram 8 gb ddr4 Storage 0.5tb Nvidia geforce 930mx(2gb)+ intel family graphic 620 4gb Window 11 64 pro Highest Hd(1920x1050)...
1 Reactions
1 Replies
920 Views
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha uzi unavyosomeka, kama unahitaji Rupia ya Mjerumani sasa unaweza kupata. Kwa anayehitaji aniPM au nipigie kwa; 0655531349 0689531349 Usibip kuepuka usumbufu, msg...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau Salaam! Inaitajika Frame ya kuweka duka la vitu vya ndani (chakula na groceries) kwa jumla na lejareja, liwepo sehemu yoyote Dar yenye mkusanyiko na mzunguko mkubwa wa watu. Mwenye...
0 Reactions
3 Replies
738 Views
Nahitaji chumba na sebule ikiwezekana jiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia Magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti sihitaji dalali madalali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Imetumika miezi mitano hivi. Ni nzima kabisa, bado inafanya kazi vizuri ktk ubora wake kama ilivyonunuliwa. Upepo safi kabisa na inarotate vizuri tu. Unaweza kuikagua ukiridhika tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi HJF, Natafuta kontena la futi 20 la kununua, naomba kama kuna mahali wanauza kwa Dar unielekeze, unaweza kuni-PM Thanks
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
3 Reactions
115 Replies
35K Views
je una bidhaa ambayo unataka kuiuza? karibu tukuuzie bidhaa yako iliyotumika , jiunge na group letu la whatsapp https://chat.whatsapp.com/FVBnU70HjaE2pyVxB7nTth
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Wakuu salamu, Wakuu nitakuwa Dodoma Siku ya Leo na kesho pia. Je, naweza kupata wapi jezi za Yanga za msimu huu? Zilizozinduliwa Jana.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello! Je, wewe ni mfanyabiashara na unapata shida katika kusafirisha bidhaa zako kwenda sehemu moja kwenda nyingine au kuweka record ya mauzo yake pata suluhisho kwa kutengenezewa Vitabu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom