Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mwenye kuja bei za hivi viatu na wapi na weza kuvipata kama unaweza hata number nipe
0 Reactions
4 Replies
940 Views
Gari ni mpya haina changamoto yoyote ile kuanzia gear box.. haijawahi kupata ajali location: dar es salaam, call us 0683011003
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kifaa hiki unaweza funga kwenye bajaji au gari na ukapata mzk mkubwa sana Bei 35,000 tu Dsm Goba hapa 0766 102 710
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu. Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari zenu wana jamvi. Natarajia kuanzisha biashara ya muziki kwa maana ya kukodisha muziki. Lengo la kufungua uzi huu ni kupata ushauri juu ya vifaa na taratibu zingine. Kwa kifupi ndio nataka...
0 Reactions
15 Replies
31K Views
Wakuu hongereni kwa kukubali tozo zote Mi hitaji langu nahitaji jezi kwa bei ya jumla zle jezi ambazo znauzwa kkoo na machinga elfu tano tano ndo nazitaka hizo ila iwe kwa bei ya jumla Nahitaji...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Jina:Shabani Mnkai. Makazi: Dodoma,Tanzania. Kata:Nkuhungu. Mtaa:Mtube Fani: Mtaalamu wa masuala ya Ushauri Nasaha na Unasihi (Profession in Guidance and Counselling. Karibu nikuhudumie kwa...
0 Reactions
2 Replies
507 Views
Ndugu yangu anauza kabati la aluminium, alikua anauza nguo Lipo magomeni usalama Bei laki 2 Unaweza kuuzia nguo au stationery au dawa nk nk Ukitaka njoo pm nikupe namba yake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nauza Generator langu lenye specifications zifutatazo. Asking Price.. 1,400,000/= (Mazungumzo kidogo yapo) Mahali : Dar es Salaam Brand ~ ProMax 7500EA Rated Power( cop) ~ 6.0 kW Rated...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunatoa huduma za Usafirishaji wa Mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda Mikoa yote Tanzania Karibuni Sana kwa Huduma Bora na za Haraka za Usafirishaji wa Mizigo. Tunapatikana Kiungani&Lumumba...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nahitaji kleti tupu za bia kama pic 100 Napatikana Mbezi Mwisho Call+sms and wapap 0715088880
1 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari Natafuta Gari VW Touareg., Budget Yangu Ni Tsh Mil 20. Kwa aliye nayo anaweza kuniPM, Nikipendezwa nayo tufanye biashara. Asante
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Mashamba Yanauzwa Mkoani Njombe zaidi ya ekari 5000 kwa wale wanaopenda kulima Parachichi basi mashamba haya yanafaa sana Barabara ipo mpaka shambani maji yapo mpaka shambani wahi sasa msimu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni forehead, upande wa kulia. Used nje ya nchi, nilinunua kuweka kwenye gari lakini mambo yamenibana nahitaji pesa sasa. Nilinunua 150,000/= Ilala, nitajie ofa yako niisikilize. Location DAR...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa Mahitaji ya LOGO, WEBSITE, MOTION GRAPHICS, POSTERS, NA GRAPHICS DESIGN mbalimbali kwaajli ya kampuni, taasisi au Biashara yako karibu sana tuwasiliane kwa WhatsApp/Call 0627808683 Tupo...
1 Reactions
0 Replies
811 Views
Paka wenye umri wa miezi miwili ambao ni wa asili na wakamata panya mahiri wanauzwa. Wako watatu. Kila mmoja ni shilingi elfu arobaini. Wanapatikana Survey hapa Dar es Salaam. Wale wote...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Nauza viatu ngoziii jumla 8000 na leja leja 10000 napatikana kibaha pwani
1 Reactions
3 Replies
1K Views
SOLD SOLD SOLD Ni kampuni ya GEC Imetumika miaka mitatu Gas ipo Taa ya ndani inawaka. Location Mbezi mwisho barabara ya Kinyerezi. BEI ni 150,000/= NJOO UIKAGUE THEN TUFANYE BIASHARA. 0687603307
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa 150,000 sebule kubwa chumba na choo ndani kodi miezi 6 ndani ya uzio ipo kigamboni mikadi kutoka main road mpk nyumba ilipo ni meter 70 ipo pembezoni mwa beach ya mikadi
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom