VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA!
MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI NDANI YA VIKINDU, WILAYA YA MKURANGA, MKOA WA PWANI.
UMBALI NI KILOMITA MBILI ( 2 ) KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI...
Habari zenu?
Kijana wa kiume mwenye bidii ya kazi,heshima na uaminifu ana uzoefu wa kazi ya kutunza bustani na maua kwa miaka zaidi ya 5.
Anatafuta kazi yeyote halali,sehemu yeyote,kwa sasa...
Nauza Samsung Galaxy S8 Edge
Ina 4GB Ram
64GB Storage
Battery health 100%
Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake.
Haina crack wala mchubuko wowote.
Imetumika miezi 2.
Bei 390,000...
Wakuu Habari
Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400
Naitaji jipya sio mtumba,
Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam
Habari wadau,
LPF TENTS&CO ni kampuni yakutengeneza mahema kwa matumizi mabalimbali tupo Arusha karibu tukuhudumie. Tunatengeneza, tunadesign na tunakushauri kulingana na matumizi yako. Bei...
VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA! VIKINDU MPYA!
MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI NDANI YA VIKINDU, WILAYA YA MKURANGA, MKOA WA PWANI.
UMBALI NI KILOMITA MBILI ( 2 ) KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI...
Mwenye gari ana shida anataka kusafiri wazee anataka 3.3ml ya haraka sogea kwenye gari ukague TUMALIZE pia tuelewane offer za 2ml tushazikataa usihangaike kupiga simu 🥱
Gari ipo kinondoni...
Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha)...
Habari za muda wana jamii. Mifuko mbalimbali yakufungashia bidhaa mbalimbali inapatikana, pia mifuko inayotumika kwenye vituo vya afya (Disposing bags) pia inapatikana. Kama utahitaji nijulishe...
TWENDENI WATANZANIA TUKAPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO NA HIFADHI YETU YA SERENGETI.
Kwa mara nyingine tena Mlima wetu adhimu kabisa wa Kilimanjaro na Hifadhi yetu ya Taifa ya Serengeti...
Habari muda huu ndugu zangu watanzania.... Kwa wale mliopo mkoani shinyanga nahitaji chumba cha kupanga.
Conditions: Chumba na Sebule(Master)
Budget:70,000/= Per month
Ikiwa na fence itakuwa...
Location: Kigamboni Mwalimu Nyerere Bridge.
[emoji666]A petrol station has offices which cover 300square meters and one were house with office.
[emoji666]Plot size: 3.5 Hectors...
Maelezo:
Kiwanja kipo Kitunda, Magole.
Wastani wa km 6 kutoka stand ya Banana/Nyerere Road
Kiwanja ni tambarare
Huduma ya maji, Umeme, na Barabara vyote vipo
Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 750 ( 30*25)...
Gari manual ni chache sanaa.
wahi hii usiikose.
Haina tatizo lolote na inatumika mpaka sasa.
Cc 1600
engine 7A
full ac.
call 0683011003.. Dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.