Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Ninahitaji mashine ya kutengenezea tofali blocks inchi 5 na 6 Wengi niliowauliza ni million mbili na nusu kwa inayotumia umeme na million tatu na nusu ya diesel JE SIDO HUFANYA BEI GANI?
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
4 Reactions
187 Replies
21K Views
Nataka kununua binocular jamani, namaanisha darubini za kuona mbali. Nijuilisheni bei zake na zinako patikana please!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BILL COUNTER MACHINE* MASHINE YA KUHESABIA HELA 🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services 🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Jipatie Nokia 105 Original kwa bei ya ofa ya Shillingi 35,000 (elfu thelathini na tano tu). Rangi zilizopo ni black na blue. Free delivery kwa DSM Mikoani tunatuma kwa gharama ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta sehemu wanayouza nyuzi zile za kutengenezea mikanda ya gypsum kwa bei nafuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi JF members Eneo kubwa na zuri sana kwa ajili ya sheli, au kujenga big supermarkets or mabweni ya shule, lipo barabarani, na eneo la barabara limeachwa la kutosha kabisa Size: 73 × 68 meters...
2 Reactions
7 Replies
972 Views
Habari jamani natafuta muuzaji wa jumla wa vifaa vya simu kama vile;vioomaiki,betri,chaja,kava awepo dar au moro namba namba hzo kwenye bango.
1 Reactions
1 Replies
698 Views
Habari. Nauza Laptop dell ; Hii laptop haijui mkono wa fundi na muda wote nimeitumia peke yangu kwa kifupi imetuzwa.Naiuza sababu nimepata dharura nahitaji pesa ya haraka. -Processor Intel( R)I...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa haraka Singida kipo maeneo ya uwanja wa ndege. Ni flat hakihitaji levelling. Bei rahisi 4m tu. Vile vile, kuna viwanja vya size mbalimbali vinauzwa eneo la Mwaja, SIngida. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Lenovo ideapad 110-15IBR RAM 4GB HDD. 500GB PROCESSOR. duo 1.6Ghz Battery >3 hrs Bei 380,000 📞 0767353674 Dodoma.
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Viwanja vipo busweru mpakani karibu na nyamhongoro na Pia ule mradi wa halmashauri wa East Busweru wa planned town of ilemela. Viwanja vina sqm 800 na 812 vyote vinauzwa million Saba kila kimoja...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Samsung A72 RAM :8GB STORAGE: 128GB SIMU HAINA TATIZO LOLOTE-IMETUMIKA MIEZI MIWILI TU, FULL BOXED INCLUDING RECEIPT NAIUZA KUTATUA CHANGAMOTO LOCATION :DAR ES SALAAM- UBUNGO SURVEY PIGA SIMU...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Get standalone electronic signature system that allows you to sign your documents digitally while keeping the public and private keys secure. It Supports multiple digital signature formats...
1 Reactions
2 Replies
443 Views
Back
Top Bottom