Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview
Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000
Bei imeshuka 100,000
0762165498
0778444669...
JIPATIE SEMBE NA DONA SAFI NA KWA BEI NAFUU
BEI
Habari!
Nauza unga safi wa sembe na dona kwa bei nafuu. Kwa wakazi wa Dar es Salaam unaletewa popote ulipo kwa bei hizo hapo chini.
Kwa wakazi wa...
Zipo sababu kadhaa kama ifuatavyo,
1-Kuto pata maji ya kutosha.
Vigae vina hitaji maji ya kutosha kabla ya kubandikwa, hii ni kwa sababu huwa vinatengenezwa na ukavu na kupelekea kunywa maji...
OFA! OFA! OFA!
Riwaya Kali ya kusisimua, yenye visa na mikasa "MLIO WA RISASI HARUSINI" Ipo Sokoni Kwa gharama nafuu kabisa.
Softcopy =. 8,000/=
Hardcopy=. 15,000/=
RIWAYA: MLIO WA RISASI...
Habari waungwana.
Kwa wote wanao hitaji fenicha
Flemu za milango
Milango
Vitanda
Meza
Viti
Madawati
n.k
Kwa kutumia miti ya
A-Mbao ngumu
Mpilipili
Mnofu
Mvule
Mkongo
B-Mbao za wastani
Msedelea...
HABARI NJEMA
NAUZA VIWANJA SQURE METER MOJA TSHS 19500/= MAENEO YA MPIGI MAGOE MBEZI KM 7 MPAKA STAND YA MAGUFULI UMEME NA MAJI YA DAWASCO YAPO. UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA (DALALI ANAKARIBISHWA 10%)...
Clean title deed
150 acres
400 millions TSH
Well developed area
7 kilometres from Morogoro Town
Few minutes from Morogoro Dodoma road
Ideal for Agriculture or any investment...
Ahsante Products inawaletea dagaa wa kukaanga pamoja na wale ambao bado hawajakaangwa kwa bei poa. Tunauza kwa jumla na rejareja kuanzia package ya 1000, 2000 na 5000. Kwa mawasiliano piga 0679...
[emoji91][emoji91] INPODS 12 tws Sealed. [emoji91][emoji91]
SEALED BOXES
16000TSH
RANGI ZILIZOPO
WHITE [emoji836] ZIMEBAKI PCS 20 MZIGO UISHE
Free delivery in Dar es salaam[emoji1631][emoji1631]...
Hello wapendwa,
Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni...
Habari waungwana nina milioni 1 cash nataka laptop yenye uwezo mkubwa kwa kazi za Graphic Design.
Sifa ya kwanza iwe na SSD. Kwa mwenye nayo anishushie spec hapa chini, nitakayoikubali naichukua
Wakuu samahani sana kwema!
Wapi naweza pata zile boyfriend jeans za mtumba za kina dada.
Wandugu napata wapi kiwepesi ziwe za kupoint kwa wenye mabalo msaada wenu tafadhali nina uhitaji nazo...
ELECTRONIC HEALTH RECORDS SYSTEM
FEATURES
PATIENT DEMOGRAPHICS
Track patient demographics
Primary information (name, date of birth, sex, identification)
Marital status
Contact information of...
Wakuu habari, nauza mafuta ya Nazi kwa kupikia, ni mazuri sana hayajachanganywa na chochote. Lita ni Elfu 30000/=
Mawasiliano 0655800252
Unaletewa popote ulipo Tanzania
Habari wadau wa JF. Natafuta suppliers wa mafuta halisi kabisa ya nazi (coconut oil). Ingekuwa vizuri kama unazalisha mwenyewe. Pia mafuta hayo lazima yawe kwenye quality ya juu kabisa na yasiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.