Natafuta wino unaotumika kuprint maneno kwenye mifuko ya nylon kwenye viwanda vya packaging kama inavoonekana kwenye picha
Ni Aina ya gani ya wino uliotumika andika kwenye mifuko naweza upata wapi?
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza account ipo fully approved na ina $8. Hakuna fixed price, napokea offers ikija offer nzuri biashara inafanyika.
Bid now!
Ugumu wa safari ya maisha ya huyu mwanamke ulianza sekende chache tu kabla ya kuzaliwa kwake, alikinusa kifo akiwa yeye pamoja na mama yake. Hali iliyopelekea kutokupewa jina lolote kwa sababu...
Habari wandugu.
Napenda kuwataarifu ya kwamba nauza Asali kwa Bei ya jumla. Ninauza Hadi madumu hamsini ya Lita ishirini. kwa atakayehitaji tuwasiliane. Bei ya dumu moja la Lita ishirini ni...
Wakuu nauza hii cover.. niliagiza ila kwenye gari haijatosha..
Kwa Saloon Car inafit vizuri..
Bei 80,000 tu
Location kimara..
Mwenye uhitaji anipm
Asante..
Bei ni 320,000/=
64gb|4gb RAM
In a very Good condition
▪︎Doted (ina kidoti kidogo kwa juu)
▪︎Haina mchubuko wala mkwaruzo
▪︎Nakupa wire na earphone
▪︎Sehemu yoyote unayoitaka tunaeza fanyia...
Habari Wakuu. Kuna hizi loud speaker ndogo ya kushika mkononi ambazo kwa mfano ukienda sokoni wafanyabiashara huzitumia kutangazia bidhaa zao au wengine hupita nazo mitaani kutangaza kwa mfano...
MITSUBISH CANTER INAUZWA DAR ES SALAAM.
Model ya 2001, Tani 2, no BMU, Diesel, injini 4M51A, Ipo katika hali nzuri/inambea. Haina changamoto. Melewano yapo kidogo. Gari ipo katika hali nzuri...
Pata huduma za serikali zaidi ya 130 kama vile Kupata cheti cha kuzaliwa, kupata namba ya nida, kutuma maombi ya mkopo wa elimnu ya juu, kutuma maombi ya chuo TCU, kutengeneza tin number, kuhakiki...
Habari natafta mashine ya kuchongea thread za bomba, inayoishia inch nne. 4"
Unaweza nielekeza duka, au kama unayo waweza kuja pm.
Mfano wa hizo mashine ni hizo pichani
Ndugu mteja,
Kkaribu tukuhudumie katika masala yanayohusu ufungaji wa mifumo ya umeme wa majumbani na viwandani. Tunapatikana Mbezi Beach Dar Es Salaam, na tunafika popote mikoani. Tuwasiliane...
Najidakia wanakuletea mashine za tofali aina mbali mbali Tunazitengeneza sisi wenyewe JIDAKIE SASA Huduma kwa wateja 0762612213
Email najidakiaonline@gmail.com
Au sales@najidakia.com
Application...
Na Smartdunia.
Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamii forum.
Awali ya yote nipende kutoa pongezi za dhati kwa majukumu ya kila siku yanayotujenga sisi wenyewe na jamii kiujumla pia napenda...
Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku)
Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani
Urefu 70 upana 35
Bei ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.