Habari za wakati huu wakuu,
Tunakodisha gaming consoles, bei ni kama ifuatavyo
15,000/= Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 3 usiku,
10,000/= Kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 3 asubuhi,
30,000/= Kwa...
Ofa, ofa, ofa yako sasa!
Jipatie pad za ps4 za wireless kwa bei ya sawa na bure!
Pad ya wireless mtumba tsh 65000 tu.
Wasiliana nasi au tucheki whastup kwa namba!
(0777821973 au +255777821973)...
Habari ya weekend wakuu!
Husikeni na tangazo hapo juu, Mapazia 6 used kidogo yanauzwa 4 ni rangi ya maroon 2 meupe yanafaa kuwekwa sitting room au bedroom nk. Huwa yanawekwa Mapazia 3 dirisha 1...
Habari za mchana huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano.
Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali...
KUKU AINA YA BLACK AUSTRALORP ( HUFAAMIKA KAMA KUKU WA MALAWI)
- hutaga mayai mengi 280-300 kwa mwaka
- hupevuka mapema ndani ya miezi 4.5 tangu kifaranga
- hutumia wastani wa gramu 125 za chakula...
Msaada
Wakuu wapi naweza kupata jenereta ndogo za ku-pump maji kwaajili ya kumwagilia kwa maeneo ya Moshi au Arusha na bei zake zipoje
Pia naomba msaada ni vitu gani vya kuangalia kabla...
Kama unajijua ni mahiri wa kucheza ps 4&5 game tofauti tofauti hii ni fursa kwako. Njoo ucheze na ulipwe. Umri uwe ni kati ya miaka 10-25. Hakuna kiingilio ni bure.
Eneo ni Arusha Remote...
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=.
Wakuu mambo vipi?
Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.
Bei isizidi 200,000/=
Kama unauza au unafahamu anae uza...
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu,
Kwa upande wa Mobile Application iwe Android au iOS platform ,
Katika mifumo miwili hiyo hapo juu unaweza kujipatia
App za mifumo
App za kioffice
App za...
Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!.
Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti...
Habari wadau,
Nahitaji kuku wa nyama tani 2.5. Hata kama una kuku ambao bado hawajawa processed ila wanaweza kutoa tani hizo tajwa hapo Juu Basii njoo tuifanye biashara
Serious seller Dm me your...
Nunua spare za Magari, tembelea kwa elimu ya spare zamagari kutoka nje jinsi yakuagiza namna yakusafiri nakuchagua spare,Agiza na;
Macha Dubai used car spare parts MWANANYAMALA KOMA KOMA KARIBU NA...
Cruise auto spare ni wauzaji wa spare party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover
Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.