Eneo lipo vigwanza njia ya kwenda bandari kavu kwala,zipo eka mbili,Kila eka moja milioni tatu,mita chache kutoka barabara ya kwenda bandarini,linafaa kwa makazi,kuweka godown kwa ajili ya mizigo...
Nauza vioo vya laptop vipo vinne
Vipo katika hali nzuri ni slim mkanda mkubwa inch 15.6
Location Mwanza
Bei kwa kila kimoja 50,000/- kwa vyote vinne 200,000/-
Drone Computer wauzaji wa muda mrefu wa Computer, sasa tumekuletea Computer za mac Apple ' All in one zenye sifa zifuatazo...; 160 gb hdd, 2GB ram, screen size inch 20, CPU na speaker zimo ndani...
Wakuu Habari,
Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?.
Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu...
Nauza scooter aina ya honda Model
Honda Click 125Cc. Bado ina hali nzuri mnoo imepasuka taa ya mbele tu. Bei 1,500,000 (maongezi yapo) ipo dar mwananyamala kwa maelezo zaidi piga namba hii 0783150130
kama uzi unavyojieleza nauza samaki mbichi kutoka nyumba ya Mungu zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara
Samaki zinatofautiana size kuna size zinazofaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani...
*TUNAUZA VYAKULA VYA MIFUGO KWA BEI NAFUU*
Huduma ya Usafiri ipo.[emoji1631]🛺[emoji597].```
Mashudu ya Alizeti - @480/kg
Mashudu Alizeti sagwa- 500/kg
Mashudu ya Nazi - @350/kg
Mashudu ya...
Hello wapendwa peleni na majukumu, kwa sasa nipo Dar nina shida na mzigo wa choroko kilo ninanunua 1400. Ninahitaji mzigo mwingi hata Tani 500 kama kuna MTU ana mzigo tuwasiliane.
Habari wadau wa JamiiForums ninge penda kuwa omba yoyote mwenye atakuwa na kazi ya kusafirisha kokoto, mawe, mbao ninge omba connection kama mwenye gari. Naomba unipigie 0625528029.
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri!!!
Karibuni sana ndugu zangu, ninatengeneza na kuuza dagaa wazuri, watamu, safi na salama kutoka ziwa victoria wajulikanao kama Nyama Nono
Nyama Nono ni dagaa...
Heshima kwenu wakuu,Tafadhali naomba kusaidiwa jambo.Ninahitaji kununua TV flat screen yenye bajet ya 1,100,000.
Sasa kuna mdau mmoja aliwahi kuniambia kuwa Zanzibar TV ni bei nafuu zaidi ya Dar...
Niko Rorya na shida kubwa huku Ni mabadilko ya Hali ya hewa. Huku tumezoea kilimo Cha kutegemea mvua. Nyenzo pekee tunayotegemea Ni kutumia ng'ombe ambao kwa nyakati za kiangazi wanaathiriwa na...
Peanut Butter (Siagi ya karanga)
Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji...
Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758
4 kwa 6 , 250000
5 kwa 6, 300000
6 kwa 6 , 350000
Karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.