Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa
Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel
Price Tshs 650,000/=
#Product Features
. 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker
[emoji830]Electric oven and grill...
Ofa ofa tshs 30,000 na 25,000 tu kwa sqm moja
Viko: mbezi msakuzi
Mahali: msakuzi kwa lipe.
Umbali mita 500m mpaka masakuzi center pia kutoka msakuzi mpaka njia panda ya goba na makabe 4km...
Kwa huduma za kihasibu na makadirio ya Kodi za TRA kupitia mfumo wa e-filling usisite kuwasiliana nasi
For more information:
P.O. Box: 2513 - Dar es Salaam, Tanzania
Call/WhatsApp: +255 (0)713...
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.
Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.
Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
Nyumba mpya yenye Chumba kimoja masta pamoja na sebule.
Mahali: Mbezi Juu, Njia ya Goba, kituo cha tatu kutoka masana hospital..
Bei Tshs 150,000 kwa Mwezi.
Maji ya dawasa yapo, umeme luku wawili...
Sofa zinahitaji kufanyiwa ukarabati, kubadilishwa kitambaa. Yako mawili (La mtu mmoja na watu wawili )
Zipo, Dar es salaam, Mbezibeach, Tangibovu.
Piga 0742141467
Bei Tshs 100,000
Maelewano yapo
Nyumba ina vyumba 2 kimoja ni masta, pamoja na sebule, jiko, choo cha wageni.
~ Nyumba ipo karibu na barabara, dakika tano kwa mguu hadi kituoni. Ina eneo la kuegesha gari, huduma ya maji dawasa...
Wakuu habari poleni na majukumu
Moja kwa moja kwenye uzi ama jukumu la hii post
Ifuatayo ni samsungA30 inauzwa, iko clean na haina tatizo lolote
Specs ni kama ifuatavo:
64 gb storage
4gb Ram...
Amani kwenu wana Jamvi
Rejea the heading above
Niende direct kwenye mada mie nahitaji Business Plan na Memorandum Articles of Association ya Kampuni.
Kwa maelezo zaidi tukutane PM
N.B Uwe ni...
Habari wakuu,
Katika harakati za kutafuta maisha nimeamua kufanya biashara ya kupika na kuuza mikate.
Kama mnavofahamu Mifuko imepigwa marufuku ,hivyo ili kufunga mikate inatakiwa ile Mifuko...
Habarini wandugu,
Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi.
Bei laki 4 elfu 50.
Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi.
Yanapatikana Mbweni...
Habari wakuu,
Tumeleta mzigo wa pochi za kina dada nzuri.
Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja
Bei yetu ya jumla ni sh. 13,000/=✓ kuanzia PC tano tu na rejareja sh. 15,000/=
Tunapatikana...
Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja.
Ili ujenge...
Kazi; kutafuta wateja na kutangaza tiba ya meno , haswa mtandaoni.
Sehemu ya kazi: Korogwe Tanga
Mshahara: 200000/= , na commission za mauzo ya kila siku
Elimu: awe na elimu ya chuo kikuu ...
Jipatie Time attendance device kama kihakiki cha mahudhurio ya wafanyakazi kiwandani, ofisini mahotelini nk, na hata mashileni.
Rahisi kutumia.
Ina back up Battery kama umeme umekatika, unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.