Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
fuata link hapachini,ili upate maelekezo bettingsystem.skynova.io
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu. Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama...
14 Reactions
38 Replies
9K Views
Toyota HARRIER [D.J.M] Year : 2006 Capacity : 2360cc Mileage : 89,000kms Price : 17.5M Location: Mbezi Beach Call : 0717436363 Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Kiwanja kinahitajika maeneo ya kigamboni kibada. Bajeti 4M Kiwe maeneo hayo ya kibada Simu 0716411720
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mixer zinauzwa Used Kutoka Ufaransa Hazijatumika Tanzania. Bei Milioni Tatu Na Laki Sits (3,600,000) moja Zipo Mbili kwa Sasa.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi...
1 Reactions
0 Replies
739 Views
Naomba kuuliza zile conduit pipe rangi nyeupe, bei yake ikoje kwa Moshi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello jf Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya) Ni wakati sasa uweke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyote aliye interested nauza infinix hot 9 haina shida yoyote ni used ikifika tarehe 16/04/2021 inafikisha mwezi nina uhitaji wa hela. Ram 4gb na internal memory ni 64gb. Napatikana Singida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haina tatizo Piga 0748001009 Ununio Dar Ndani Ina good CONDITION Cc 1490 Bei 6.5milion 6.5mil
0 Reactions
7 Replies
895 Views
Inaitajika gari ndogo ya kukodisha IST, Noah, Runx, Spacio n.k Shughuli za kiofisi. Ofisi ipo magomeni. Malipo kwa kila week. Mkataba wa mienzi mitatu hadi sita. Mafuta na service za gari ni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Chumba kimoja, Choo cha nje. ------------------------ Maji ya dawasa, Umeme Luku yakuchangia, Uzio na usalama Upo. ------------------------ Bei Tshs 50,000 Kwa Mwezi Kodi ya Miezi 6...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu Mimi mdau wa zana za kilimo ninauza tractor aina new Holland HP 95 IPO vizur kabisa ( mpya) ninapatikana mbeya Bei ml 35 pamoja na jembe lake disc 4 Sent using Jamii...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Chumba na sebule, Choo cha nje. Maji ya dawasa, Umeme Luku wawili, Maegesho ya gari ipo, Uzio na usalama Upo. Bei Tshs 100,000 Kwa Mwezi Kodi ya Miezi 6 Wasiliana nasi: 0686648630 | 0716442950
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza kitanda. Bei laki na 20 (120,000/=). Nipo Banana Ukonga. Namba yangu ni 0712505049.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibu ujipatie unga wa ALKASUSU Kwa bei ya 8000 Kwa pakiti ya gramu 250. Napatikana Dar es Salaam Mawasiliano 0767941735
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Wafugaji wengi hasa kwenye ufugaji wa kuku iwe kutaga au wa nyama changamoto kuu zipo mbili magonjwa na kuibiwa kuku wako hata kama idadi uliifahamu, Sababu kuu ni kuwa control vijana na hata...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Shamba linauza,lipo chalinze pwani Lina ukubwa wa heka 40 na kila heka moja inauzwa 1,500,000 Lipo umbali wa km6 kutoka morogoro road na huduma ya umeme ipo 📞 0719805851
1 Reactions
4 Replies
859 Views
habari, Naomba kujua wapi nitapata dagaa wa chumvi waliokatwa vichwa maarufu kama dagaa wa nyama kwa ajili ya biashara. Wapi nitapata kwa bei nzuri na mi nkauze nipate vihela.
3 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Closed
Nimelima mihogo hekari 3 , masoko tatizo kidgo nataka kuuza hekar tatu zote.0719688404
1 Reactions
0 Replies
564 Views
Back
Top Bottom