Karibu nikuhudumie.
Ninatengeneza Logo kwa gharama nafuu mno, kuanzia Tshs. 20,000/=
Business Cards kwa Tshs. 20,000/=
Pia Nina design Stickers, Banners, Rollups, Labels, etc.
Ninafanya TV...
Habari zenu ndugu
Nauza viwanja viwili vipo dodoma cha kwanza kipo mahungu eneo la mnada mpya njia ya kwenda singida kimepimwa kina full document ukubwa wake ni km nusu heka (viwnja vya zaman...
Kwa wale wauzaji na waandishi wa vitabu na ebooks...tumia fursa hii kujisajili kuweza kuuza vitabu /ebooks zako ONLINE kupitia www.mobbishop.com
Kama wewe ni mwandishi/muuzaji wa vitabu vya...
PRICE: 8,000,000 (maongezi yapo)
Model: Toyota HARRIER Lexus
Registration Number: A....
Colour:Silver
Engine: Petrol 2994cc VTI
Year 1999
Seat Capacity 5
Music redio
Full AC
Full documents (File)...
Nimekuwa nikihangaika kupata chumba Cha kufanyia Biashara kwa muda wa wiki mbili Sasa ambacho kipo eneo zuri linaloendana na Biashara ninayotaka kuifanya, mwenye connection ya watu naweza kupata...
Habari wakuuu,
Kinahitajika kiwanja cha kujenga petro station kuanzia Mbezi hadi Kibaha ila kiwe upande wa kushoto ukiwa unatoka Dar es Salaaam. Kisiwe ndani ya reserve area +255625607157
Husika na kichwa takes Hapo juu wapendwa tunauza cherehani nzuri Sana za kushona nguo kwa Bei rahisi waweza tumia umeme au kutumia manual hii Ni pottable ya kutumia nyumbani kuzibia viraka kupinda...
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye...
Nyumba ina muonekano wa kuvutia,
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula.
Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa...
Wakuu nahitaji kununua viatu vya kiume na vya kike vizuri kwa bei ya jumla
Pia nahitaji nguo za jumla nzuri
Msaada ,wapi nitapata vitu hivyo kwa hapa Dar?
Habari zenu wana JF,
Natumaini mko salama bukheri wa afya tele.
Tumia mda wako kusoma huu ujumbe natumaini utakua msaada kwako lengo n kusaidiana na sio kujinufaisha elimu hii inatolewa bureee...
Nyumba bora ya ghorofani, inavutia na ya kisasa. Nyumba ipo eneo tulivu la Mbezi Juu, ukiwa sebuleni au katika Varanda unatazama Bahari ya Hindi Au unapuliziwa upepe mwanana wa Bahari.
Nyumba ipo...
Land is suitable for both farming and commercial development purposes.
Fully fenced, great access, 8.3 acres’ land.Price TZS 8,500 million.Title deed ready.
Please contact for viewing and/or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.