Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwena sokoni.
VIGEZO.
1.Gari iwe na dereva wake.
2.Dereva atalipwa na mwenye gari.
3.Tani 3 mpaka 5.
4.Gari...
Mimi naishi nyumbani ila ni kijana ambaye nahitaji pia ndoto zangu zikamilike kila mmoja yupo duniani kwa ajili na ameumbwa kwa mfano wake siyo kwamba Sina Kodi ya kulipa hapana namatumaini kuna...
Habari, natafuta ving'amuzi vya internet ambavyo vinasaidia kufanya network ya simu kuwa ya kasi zaidi.
Eneo nililopo hakuna network kabisa, yaani network ni E kwa kila mtandao wa kijamii...
Ni kampuni dogo linalojihusisha Sana na shughuli nzima ya maswala ya uchapishaji pia tunafanya delivering mpaka mkoani je wewe unahitaji vitabu au nakala mbalimbali jibu ni machapisho Agent...
Nina mteja wangu anataka eneo la kujenga kiwanda cha bamboo Iringa, mwenye eneo Iringa hasa ambalo lipo karibu na bamboo itakua vizuri sana, au dalali yoyote aliyopo Iringa tuwasiliane.
0693959469
Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi.
Gari ninayohitaji yenye...
Yenye ukubwa wa Stepler pin machine ambayo unaitumia kushona palipochanika/kufumuka kwa urahisi.
Inashona kama cherehani ya kawaida.
[emoji832]Haitumii betri wala umeme
[emoji832]Rahis kubeba...
Nauza nyumba Dodoma nkuhungu north,
Ina master moja ,vyumba viwili vya wageni,jiko, choose cha public, stoo, choo cha nje na jiko la nje. Ipo karibu na barabara itayojengwa ya kupitisha magari ya...
Wasalaam!
Wakuu, naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata mbegu za viazi lishe kwa mikoa ya kanda ya mashariki (Dar es salaam, Pwani au Morogoro).
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums...
Habari!
Mkulima Mwerevu Agrovet inawatangazia wakulima wote wa mboga mboga kuwa sasa wanazo mbegu nzuri za kisasa (Hybrid Seed) kwa ajili ya wakulima.
Msimu wa kuandaa mashamba ndo huu...
Kwa yeyote anyeweza kusuply 1600 za amlinium ingot tuwasiliane Kwa number +256788282409.
Sio lazima ziwepo hapa Tanzania.
Hata ukiwa ukifaham kiwanda kilichopo nje.
Karibu
Habari za leo wakubwa,
Ndugu yenu bado naendelea na kazi ile ile ya kudesign ramani mbalimbali.
Leo nimekuja na hii design yangu ya kipekee ya nyumba ya vyumba vinne. Unaweza kujionea mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.