Wakuu, nimebadilisha life style, sasa napenda kuangalia documentaries hivyo nataka kununua vifaa vya kisasa vya kielektroniki vyenye viwango vya kimataifa.
Sasa nimeshauriwa kua kuna home theater...
Zakutumia umeme sh.2500,000,Zile ambazo hazitumii Umeme zinaanzia sh.270,000 hadi sh.450,000,Nipo Dar es salaam,Kariakoo Mashine ziko tayari unafika unalipia kisha unaondoka na mashine...
Wakuu kwema
Nahitaji toyota IST isiwe na tatizo lolote namba iwe C nakupanda juu, Bajeti yangu ni 5M Njoo chapa tufanye biashara.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Wakuu,
Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri.
Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari...
habari za Leo wakubwa,
Leo nimeamua kuleta karamani kakali kidogo unaweza kujionea mwenyewe. Haka karamani kana vyumba vinne. Ila chumba kimoja ni kidogodogo kinaweza kutumika kama study room au...
Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana
Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna...
Habari Wakuu
Natafuta gari Toyota IST yenye sifa hapo juu, offer yangu ni kuanzia 7m mpka 8.5m,
Gari iwe katika hali nzuri, rangi silver, Gray, dark na light blue,
Kama mtu anayeuza atakua ndio...
Niaje..
Wale wanaotaka Xiaomi smartphone ninazo redm 7 Global pic 19.
Bei ni 380000 sealed box . New
Specifications read here Xiaomi Redmi 7 - Full phone specifications
Ukiihitaji ni Pm .
Na...
Helo Tanzania kwa wale wakazi wa Banana Ukonga na maeneo ya jirani wanaoitaji container take away zinapatikana kwangu naweza nikakuletea mpaka ulipo nipigie 0763932278 bei mojani mia 50 pakti moja...
Naitwa David nina umri wa miaka 18 nina elimu ya kidato cha nne natafuta kazi yoyote halali ambayo itakua na maslahi nipo Dar kwa mawasiliano zaidi nipate instagram hdboe_255.
Ahsante kwa muda wako.
Habari zenu wadau,
Sasa, naomba msaada wenu nina mgeni nampokea kesho,anahitaji kufikia hotel nzuri kwa kila kigezo lakini ya gharama nafuu hapa dar es salaam..budget yetu inarange kati ya 35 na...
Habarini wapendwa. Nauza mapazia yangu ambayo kimsingi siyahitaji tena. Kuna piece 8 jumla. Pisi 4 zipo complete ina combination ya rangi tofauti nauza elfu 35, pisi 3 zipo rangi nyekundu tupu...
Offer ya kuanzia mwaka
Set nzima ya kupambia cake kwa bei ya 125,000 tu
Inakuja na vitu vingi sana vya kisasa
Ina nozzle piece 48, turnable table, visu vya kupambia, mifuko, slicer na vitu vengine...
Model: Toyota IST
Cc: 1490
Year: 2005
Full ac
Location: Kinondoni (Dar)
Price: 6,000,000
Contact: 0717599884
Gari ni nimeitumia mwenyewe, kwa atakayevutiwa karibu tuzungumze
Habari nyumba hii inauzwa ipo barabarani kabisa Goba million 58 tu karibu ujionee tupigie 0763542515
Ina vyumba vitatu na sebule umeme na maji vipo pia ina by quarter kwa nje kama una vijana...
Imetumika miezi 4 tu milango miwili ina friza juu ubaridi mkali na friji kwa chini ina nafasi kubwa na pia 0712046405 lipo Dar es salaam kigamboni pia kuna masofa yanauzwa NAHAMA KIKAZI.
Niende kwenye point moja kwa moja kama heading inavyoeleza.
Tutafute tukusafishie shamba, kiwanja ikiwa ni kuchimba visiki vilivyopo kwenye shamba au eneo lako.
Pia tunapuliza dawa za kuua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.