Wajasiriamali House tumekuwa kwa zaidi ya miaka 10. tukiwasaidia Watanzania walio na mitaji isiyozidi laki 5 ,mbinu za kuanzisha au kuboresha bidhaa zao sambamba na mbinu za mauzo ya bidhaa zao...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano ---- Sehemu chombo...
HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA...
BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA...
NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA...
Nyumba ya kisasa ina vyumba vinne master jiko, siting room, dining umeme na maji ipo bararani njia ya kwenda kiwanda cha plastiki Vikindu madafu ina eneo kubwa limebaki unaweza kupiga simu namba...
Kwa wakazi wa Arusha mchele msafi na ulionyooka kutoka kahama Shinyanga grade namba mbili unapatikana kwa jumla ni 1600 kuanzia kilo 10 kwa wale wenye sherehe za harusi, ubarikio, birthday party...
Jamani Kuna bidhaa hizi tamu kwa wale nadhifu na wanaotaka kuwa nadhifu pia...
Bei poa na Ni latest design..[emoji1476]
NB;Sina duka jamani Ila mkoa wowote tunatuma
Hizi SWETA original , Ni pure...
Mwenye anataka baiskeli nzuri kabisaa mountain bike gear 9( nyuma6 na mbele3)
Ipo clean Kama Inavyoonekana .
Ipo Dar es salaam.
Bei 150,000/ RISITI YAKE IPO (iliagizwa toka Zanzibar)
Mwenye...
Habari wadau, nahitaji Toyota IST yenye namba D yoyote ile hata iwe DAA iliyopo Dar. Budget yangu ni Milion 6.5 TU!! Hiyo ndiyo hela iliyopo ni vema likazingatiwa. Kama unalo hilo gari nicheki...
Viwanja vipo Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam.
Ni karibu na Madale Mwisho.
Viwanja vinne vipo km 2 kutoka Madale Stendi, na kimoja kipo karibu na Stendi ya Goba...
Simu tajwa hapo inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote.
128 GB storage
6GB RAM
Triple camera
Bei 550k
Exchange inaruhusiwa kutegemeana na simu.
0621632813
Ni saa ambazo unaeza ukachagua mchanganyiko wa rangi yeyote ile uipendayo au inayoendana na kwako...ukubwa wake ni 55cm .. bei yake ni laki moja (100000) napatikana Arusha, Usa-river namba za simu...
Habari njema kwa wasafiri na abiria wa mikoa ya nyanda za juu kusini magharibi.
Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana. Hii Ni habari njema Sana.
Pruuuuu mpaka Maka
kuna tenda nimeipata ya tisheti za shule Sasa nahitaji kuelewa kiwanda cha kutengeneza matisheti kipo wapi ili ninunue kwa jumla nahitaji tisheti nyingi
Mawasiliano 0657709912
tunafsiri lugha ya kichina.中文 , pamoja na lugha ya kijapani 日语
kama una document ipo kwenye lugha ya kichina au Kijapani na unataka iwekwe kwenye lugha ya kiswahili au kiingereza basi njoo nayo...
Gari ina rangi ya pink
Ina cc 999.
Mwaka 1999
Full ac
Full registered documents
Tyres mpya kabisaa
Haijawah rudiwa rangi kabisa
Changamoto
Vile gar unavoitaka iwe utarekebisha vitu vidogo Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.