Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja kinapangishwa barabarani eneo la buyuni kuelekea Chanika ukubwa wa sqm 1300 bei 400,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Jipatie mashine ya ice-cream au koni Kwa bei poa kabisa.pia utapatiwa mafunzo jinsi ya kutengeneza koni bure utapewa na mixer yake bure. Bei ni 2m , Mazungumzo yapo kidogo. Tuwasiliane Kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza accounting package kwa kuanzia tataanza na Tally kisha Quickbooks. Muhimu uwe na vitu vifuatavyo 1. Computer - Desktop/Laptop/Pad/Smartphone 2. Speaker - Kifaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ipo,imepata ajali kidogo engine 1g, vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya. Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Vituko haviishi vituo vya kazi siku hizi! Katika moja ya shule ya sekondary wilaya ya Uyui mkoani Tabora kumetokea sintofahamu baada ya mkuu wa shule kumtaka kimapenzi mke wa mwalimu wake wa...
0 Reactions
8 Replies
790 Views
Computer za aina zote zinaptkana HP, Dell, Accer, lenovo Tupo karume hapa, mawasiliano zaidi 0714894219
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Ninawasalimieni. Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo: 1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/= 2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake. 3. Mahali-:Area A, Area...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
uwezo : mayai 1056 uendeshaji: inageuza mayai yenyewe(Automatic) umeme: inatumia umeme kidogo Sana kwa kuwa inatumia coil heater ambazo huzimwa automatically muda fulani sensors: temperature na...
1 Reactions
0 Replies
808 Views
Plot is situated at KIMARA- TEMBONI , 3KM from Temboni bus stand . plot ni tambalale ukubwa wa kiwanja ni SQUARE METER 900 ( 30 METER * 30 METER) ... PRICE MIL. 12,000,000/= (negotiable ) . ENEO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salama, Nauza tank za maji za rangi mbali mbali ila zimetumika kidogo mfano wake ni kama kwenye picha bei ni rahisi mno naziuza elf 90 zina chuma na zipo kwenye hali nzuri nilikua nazitumia...
2 Reactions
28 Replies
14K Views
Nahitaji turubai lolote used au jipya la ukubwa wa kufunika gari aina Mark X. Nipo Dar. Nichek 0683 141402.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bado inapiga ruti kama kawaida Ya kubadilisha seat cover tu na kuendelea na shughuli za usafirishaji. Seat capacity: 16 passengers Engine, gearbox: viko sawa Loc: mbezi mwisho Dsm 0744033555
0 Reactions
6 Replies
764 Views
Nauza vifaa vya saloon Steamer 1 Dreyer 2 Viti vya kawaida 4 Dish la kuoshea 1 Rollers zipo za kutosha kila saiz Stand ya rollers 1 Vioo chambele na cha nyuma 2 Maongez yapo bei vitu...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Hello everyone, We have used 20ft and 40ft in Dar es Salaam with good quality and reasonable prices. If you are interested kindly email me at said.ars@hotmail.com or via whatsapp: +8618562614108.
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Inauzwa Tsh 20,000/= Elfu 20 Location Dar es salaam. Mpyaa ipo kwa box lake.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello Jf. Hii gari inatoka kwa 5m Iko safi Full document AC tu ya kujaza Njoo kinyerezi Dar tumalize biashara. Punguza maswali kwenye comment nishaweka namba hapo chini. 0744033555
0 Reactions
7 Replies
815 Views
Mimi Ni mmiliki wa kampuni, nina vijana zaidi ya kumi ambao kazi zao ni za field , ivyo nilitaka kununua piki piki lakini katika michanganuo nikaona ni bola nitafute pikipiki za mkataba kwa sababu...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu condoms za jumla kama bull, salama n.k za jumla ni maduka gani wanauza condoms za jumla.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
PIKIPIKI BOXER 150 namba CAF BEI: 1,700,000 Tshs Pikipiki ina full document Engine safi. Haina tatizo wala mgogoro. Keko Dar es salaam. Call0744033555
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe. Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom