Panasonic Gh5s with
viltrox speedbooster 0.71x magnification(hii ni speed booster ambayo ina convert ef to mfd plus magnification) tofauti na zile convetor
Ipo na cage yake plus handle
Bei...
Xbox one X ina intenal 2tb natoa na cd tatu
Forza 7
Gear of war 4
Injustice 2
Bei 1.1m
Hii ni xbox one X ile ya 4k
Kama.upo interest nicheki
0752527054
0629274880
0716917896
Supper Gro nikirutubisho kinacho ufanya mmea kuwa na afya inayostahili katika ubora wake, pia inasaidia kwa wakulima wadogo wadogo, na wakubwa kupunguza gharama za uendeshaji wa kilimo, pia...
-Nyumba ipo Kinyerezi mwisho 1.5 km kutoka barabara ya lami
-Ina vyumba vitano,viwili master,sebule,dinning,public toilet,jiko na stoo
-Ukubwa wa kiwanja ni sqm 700 ( 35 kwa 20)
-Pamepimwa...
Makisio ya gharama kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi, hufanyika mwanzoni kabisa katika hatua ya uibuaji wa mradi (Project Planning Stage). Andiko la Mradi huweza kuonyesha tu jumla ya kiasi...
.
Imetumika na touch yake ndio inazingua. Mwenye simu anasikiliza ofa yoyote.
Pia ipo samsung s6 edge..imepasuka kioo.ni ya kuweka display mpya.hiyonaiuza 50k.
Location MWANZA
Habari za mwaka mpya wakuu
Nyumba inauzwa pugu kajiungeni
km 1 kutoka barabarani.
Ina nyumba vi3 vikubwa.
bei ni milion 45 maongezi yapo
Ni square mita 1500 yaan mita 30 kwa 50
No 0753567696
NB...
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na...
Kwenye uhitaji wa mzani wa kupimia wa mawe anicheki PM bei ya kuanzia ni 110k ni umetumika miezi michache tu so bado mpya kabisa ,napatikana Morogoro mjini
Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza
piga 0713039875 kuwahi ofa hii
Nina gari Aina ya Nissan vannete NZ 200.
Nataka niitoboe juu Ili niweke dirisha ambalo linaweza kutumika kuangalia nje.
Nawaza kutumia ambalo limetoka kwenye gari ambalo halitimiki.
Mfano...
Mpendwa Mwana Jamii, nimekuwa nikitanganza kazi zangu mbalimbali hususani majengo ambayo yamenakshiwa na material za kisasa mbalimbali.
Nashukuru Mimi na team yangu tumepata ushirikiano wa...
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.