habari wana JF, Kuna nyumba kubwa inapangishwa maeneo ya survei, ni kama dakika tatu toka mlimani City. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master, sebule...
Wakuu habar zenu.Nahtaji vyumba viwili vya kupanga viwe katika hali nzuri na viwe katika maeneo niliyotaja.Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa 0717478451 na0717465686 asanteni
Wakuu habari zenu,
Natafuta vyumba viwili vya kuishi, maeneo ya tabata, kinondoni na maeneo ya kimara.
Kwa mtu mwenye uwezo wa kunipatia anicheki inbox
Toyota Corola Dx Details
Cc: 1500
Color: White
Transmission: Manual
Engine: 3A-U
Taarifa za Ziada
Tairi: Nzima na Mpya
Body nzima ila Kuchomea sehemu chache (angalia picha)
Vioo: Vyote vizima...
Naweza kusema kwa sasa, route ya Dar-Mwanza Ally's wamedhamiria kuibinafsisha. Hizi sasa ni sifa🙌🙌.
Sioni kampuni yakuitishia ally's kwa sasa( kwa mbali labda Tanzanite na Happynation)
All in all...
Nimefika tanga mjini jana, na nina kazi kama ya mwezi mmoja au miwili hivi, natafuta chumba cha kujihifadhi kwa huo muda nitakaokuwepo.
Msaada wa kiushauri na maelekezo naomba sana.
Natanguliza...
Habari wapendwa!
Karibu nikufanyie data analysis bure kwa mahitaji mbalimbali.
Inawezekana una repoti kazini,shuleni, au chuoni,
Inawezekana unataka kujua ufanisi wa mradi wako kwa kadri ya...
Habari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani ya siku...
Ipo Kinyerezi Mbuyuni ina vyumba viwili vya kulala, kimoja ni master, jiko, sitting room, ipo ndani ya fensi, maji yapo, kodi ni 250000, karibuni sana, mawasiliano 0782239344
Salaam,
Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo)
kipo karibu na nyumba za TBA
Kina ukubwa wa sqm 1628
Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini)
Kiwanja kina hati Maliki...
nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa
Mahali: Chanika
ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm
matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni
Huduma...
Salute bosses!!
Awali ya yote nitakua mnafiki sana kama sitatanguliza shukrani zangu za dhati kwa Jamii Forums. Bila ya hii platform (JF) tusingeweza kupata kushare taarifa kuhusu hii fursa ya...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema,ninamiliki komputer aina ya HP .tatizo nililopata ni aina ya komputer yangu ambayo battery lake lipo ndani ya komputa ,yaani kulitoa mpaka ufungue nati...
-Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima
-Nyumba ina vyumba 3...
Habari, tunatoa huduma za ku bypass iCloud kwenye iPhone yako. Huduma ni Kama zifuatavyo
iCloud activation = Huduma hi ni pale iwapo umesahau email na password za iCloud. Na huwezi kuendelea...
Hii hapa Corolla
Bado iko barabarani inafanya kazi vizuri tu.
Document zote za umiliki zipo
Gearbox clean
Engine safi
Ipo pugu Dar es salaam
Bei 3,500,000 Tshs only
Nitafute 0744033555
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.