D20 SMART WATCH BRACELET
Ni saa ya simu janja ambayo unaweza kuunganisha bluetooth pamoja na simu yako ili upate notification za simu yako simu ikiwa ndani ya umbali wa mita 13
NOTIFICATION TYPE...
Habari ndugu, jamaa na marafiki...
Naitwa Enock, napatikana Mbezi ya Kimara, Dar Es Salaam, Tanzania, mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa kwa bei nafuu.
Napokea oda kwa mtu yeyote...
SCALE MPYA YA KUPIMIA UZITO WA MADINI
* Inapima kuanzia uzito wa 0.1g mpaka 500g
* Mizani ni mpya kutoka nje na zipo kwenye boksi lake.
* Inatumia betri za kawaida ambazo ni rahisi kupatikana...
Habari Jamii Forum. Nisizunguke sana.
Natafuta shamba la kununua au la kukodi lenye udongo wa tifutifu au kichanga lenye ukubwa wa zaidi ya (at least) hekari moja (1 acre). Shamba liwe maeneo ya...
Enewei...Ni fundi urembo wa
urembo wa Dirisha
Urembo wa nguzo
Urembo wa fensi
Urembo wa kona au pembe za nyumba!
Nipo Temeke DSM na popote Tanzania nakufikia
Call & What'sApp : 0789005562
Kama simu yako ni gb 16 nakuongezea kuwa 64gb au 128.
Hakuna kitakachopotea kwenye simu yak.
Hakuna madhara yoyote kwenye simu yako.
Pia narekebisha matatizo yoote ya iphone. Just call me...
Ni fundi urembo wa
urembo wa Dirisha
Urembo wa nguzo
Urembo wa fensi
Urembo wa kona au pembe za nyumba! Pamoja na urembo wa fensi
Nipo Temeke DSM na popote Tz nakufikia
Simu : 0789005562
Wasap...
Wandugu,
Ninatafuta kiwanja maeneo ya Madale, Bunju, Goba , Kimara sema budget yangu ni 5m Tanzania shilling. Mwenye nacho ani PM.
Ukubwa kuanzia 800sqm kwenda juu.
Wanabodi!
Kwa wenyeji wa Mji wa Chamwino ninahitaji Nyumba ya kupanga angalau vyumba vitatu.
Kodi nitakuwa ninalipa kwa mwezi.. mmoja mmoja.
Tusaidiane!
Beach Plot No 1 kina Sqm 1,808 kinauzwa Tshs 100,000,000/ ila Hati bado inabidi kilipiwe kiasi na Hati ikitoka zinamaliziwa.
Beach Plot No 2 kina 1,323 sqm kinauzwa Tshs 95'000'000/ kina Hati...
Habarini watanzania wenzangu mimi ni kijana wa kitanzania na nimebahatika kupata degree ya sheria, lakini kama ilivyo kawaida ukimaliza masomo huna budi kusubiri Mungu akuletee kazi ili maisha...
Kiwanja kinauzwa Jiji la Dodoma , kipo eneo la swasa mnarani , Kiwanja kina ukubwa Wa eneo SQM 1200. Kipo pembeni ya njia ya barabara ya kutoka kwa waziri mkuu kuelekea martin Luther . kina...
Wakuu nauza gari tajwa hapo juu
Reg: T---DFT
Toyota Ractis
Colour: Pearl white
Year of Manufacture : 2005
Engine Capacity: 1490cc
Condition: Perfect running condition with no accident history
Fuel...
Cc 990.
Engine iko vizuri.
AC inafanya kazi.
Inafanya uber mpaka sasa.
Imetunzwa vizuri tu haina tatizo
Njoo na 5.6mil uchukue chombo
Mbezi Dar es salaam: 0744033555
Salaam wana JF.naombeni mrejesho wa picha wana jf niliowapa bure Miche na niliowauzia Miche ya Papai maana ni miezi kadhaa sasa .pia natoa bure huduma ya Ushauri juu ya kilimo hiki cha Papai ,pia...
Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile...
Habari za jioni wanabodi.
Natafuta eneo la kukodi kwa ajili ya biashara ya gereji jijini Dar Es Salaam.
Maeneo pendekezwa
Buguruni
Tabata
Kinyerezi
Natanguliza Shukran zangu za dhati kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.