Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Karibu nikutengenezee MATANGAZO ya sauti na motion graphics kwaajili ya Tv(tvc), Radio station, pia social media...(instagram, fb)etc, kwa wale wenye Biashara mbalimbali(HOTELS, MADUKA, PUB...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Sasa wale walio kuwa wana boreka na Spread za templer, hatimaie Tickmil ambaye ni ECN broker mwenye Zero spread anatuletea huduma ya kuweke pesa na kutoa kama Templer yaan kwa simu. Ukitaka...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna mtoto wa mtu amejaa, anataka nimvishe pete, nimeona isiwe tabu ngoja nikate kiu yake. Naomba kujua maduka yanayouza pete original za madini kama almasi, dhahabu, shaba ama tanzanite kwa hapa...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
HOUSE FOR SALE LOCATION TEGETA MASAIT NYUMBA KALI YA KIBABE INA VYUMBA V3 MASTER BEDROOM ZOTE SEBULE KUBWA JIKO LENYE MAKABAT NYUMBA NIMPYA UWANJA UNA QM 1200 PANA HAT SAFI BEI MILLION 350...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau, kwa yeyote mwenye shida tajwa hapo juu, tafadhali wasiliana nasi Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa chuo unahitaji 'document' yako iwe 'polished' vizuri, Mfanyakazi na unahitaji 'document' yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi. Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
2 Reactions
42 Replies
3K Views
01.Kiwanja namba (plot No.) 647. Block .... Ukubwa wake SQM 880. Bei milioni nane (8Mil). Daladala inafika kwenye kiwanja Karbu njoo DM 02.kiwanja kingne kina ukubwa wa SQM 427 Plot No.119 Maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari. Wakuu nahitaji hyo mashini ndogo ya kufulia,ndogo kabisa mfano picha hapa chini. Nipo Dar es salaam. Nicheki pm tufanye biashara. Karibu.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje) Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800) Umeme na maji vipo karibu. Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo. Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jipatie gari hii ndogo ikiwa katika hali nzuri. Full Document Njoo ukague gari na fundi wako. Loc: Zakhem, Dar: 0744033555 Picha zaidi njoo whatsapp
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Shamba ni eka moja maeneo ya meresini limepakana na mto wona. Maji mwaka mzima. Bei mil 45 maongezi yako.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu zangu ,marafiki zangu Napenda kuendelea kuwaambia kuwa ninatibu baadhi ya magonjwa na kutoa ushauli magonjwa mengine Magonjwa ninayo tibu -vidonda vya tumbo na chembe ya moyo -matatizo ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level. Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Mikoa ifuatayo Mwanza, Geita, Mara, Shinyanga au Simiyu. Natafuta gari ya kununua kwa kulipa kidogo kidogo hadi namaliza. Bei isizidi milioni 4
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Nauza Bajaji tvs shilingi milioni mbili na laki nne(2,4000,000) na pikipiki boxer laki tisa tu (900,000) kwa maelezo zaidi kama umepungukiwa au kuziona namba ni 0655634017 vyote vipo mbagala Dar
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Simu Samsung A10s inauzwa. 1 Dual camera- 13MP +2MP dual rear camera na 8MP front camera 2 finger scan- well functioning 3 warranty- 2years but used 3 months mpaka sasa 4 Octa core processor...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari, Nikiwa kama mdau wa mambo ya usalama leo kuna jambo dogo nahitaji kushirikiana na kukumbushana katika nyakati hizi nanyi wamiliki wa vyombo vya usafiri na wadau wengine katika sekta ya...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Inawezekana wewe ni mfanyabiashara, mjasiriamali, meneja usafirishaji, au ni mmiliki wa gari/magari. Leo nataka nikuonyeshe ni jinsi gani gari iwe ni yako ya binafsi au ya kiofisi linavyoweza...
4 Reactions
90 Replies
16K Views
Back
Top Bottom