Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis
Njia ya kwenda Goba
Eneo lina SQM 400 (20×20)
Nyumba ina umeme na maji
Nyumba ina vyumba vinne.
Finishing haijakamilika vizuri.
Dakika 10...
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini.
Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana...
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali.
Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa...
"
Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni...
Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?.
=========
Kutoka kwa mdau humu jukwaani.
Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni...
• Direction: Magomeni Makanya
• Facilities: Old house and 6 frames
• Plot Area: 350 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 250 million
• Site Visiting: TZS 30,000
.
✓ ni kiwanja cha kona
✓ kipo...
Wakuu kwema?
Mzee wa machimbo leo chimbo mimi mwenyewe. Naweka mfululizo wa pochi kali ninazoleta kutoka china mimi mwenyewe
Ofisi yangu iko kawe ukwamani. Frem mpya za Lugalo
Mikoani utatumiwa...
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao...
Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3
Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi.
Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani
Nyumba...
Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes...
Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na...
Habari za asb wadau. Nyama nzuri iliyopimwa na mtaalam ~Steak kilo & Mixed Beef ~Nyama yenye mifupa - Kilo 80 inapatikana.
Una shughyli, shule, Hoteli tupigie 0787904860 tupo Morogoro mjini Steak...
Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora
bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa
Bei haipungui
Duka
Lina kabati 2 nyuma
Kila moja futi 8 kimo 4 upana
Kabati 1 mbele futi...
Hello.
Tunauza Peramiho beef Sausages.
Nusu kilo packet 18,000
Kilo moja packet 35,000
Kilo moja na robo 40,000
Delivery ipo bei poa
Call/whatsapp
0654465446
Habari wakuu, nina kiwanja changu maeneo ya tegeta kituo cha polisi, kina ukubwa wa 19 kwa 21. Hakijakaa square, kipo flat na hakijai maji.
Kipo karibu na shule ya msingi na kituo cha polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.