Habari zenu Wakuu,
Nauza Tv ya TCL inch 32 SmartTv kwa 320,000 tu!
Tv ni nzima na haijawahi kwenda kwa fundi.
Napatikana Dar es Salaam.
Mawasiliano 0626753305
Natafuta mtaalamu wa mifugo (Dar) atakayenisaidia kunipatia design nzuri ya banda la ng'ombe 10 wanaokamuliwa/ wanaonyonyesha: cow pen (10 separate sections for 10 adult cows) + calf pen, crush...
Habari?
Nadizain LOGO na POSTERS za Biashara, Kongamano n.k
POSTERS za Kupost Mtandaoni kama INSTA, WATSAPP, FB N.K
Hizi Ni baadhi ya kazi nilizofanya ukipendezwa tuwasiliane nami ili Tufanye...
Wana JF,
Kuna wadau wanaagiza used computers toka Netherland nilikutana nao kwenye pita pita zangu leo nikaona kuna ndugu zetu wale wa Internet Cafe, Mashule, nyumbani n.k ambao wanahitaji...
PACK 1 Business Watches
Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja
Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima...
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako
Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya...
Katika harakati za kujitafuta nilifanikiwa kukutana na huyu jamaa na sasa tunaishi kama ndugu. Ndio kwanyakati tunakutana wote tulikuwa tunapitia hali flani ambazo nisehemu ya mapito kwenye maisha...
🚚 Tunasafirisha mizigo ya aina yote kutoka DSM kwenda mikoa yote Tanzania Kila Siku.
🛵. Tupigie simu popote ulipo ili tuufuate mzigo wako na kuusafirisha...!!
🤝 @zone2zone.transporters ni...
Inahitajika( bell) kengele kubwa hasa hasa kama zile zinazotumiwa na makanisa hasa makongwe.
Anayejua upatikanaje wake hapa tanzania anijuze maana ina matumizi mengi. Hata ikiwa ni nje ya nchi...
Hello bosses...
Napenda kuwakaribisha kwenye App ya Afya Mingle Afya Mingle - Apps on Google Play ambamo utaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu.
Madaktari wetu ni Professional...
Tunauza Balo za Mtumba Uzito tofauti tofauti,
Kuna Balo za UK Bei yake Ipo juu kidogo kutokana na Ubora na aina ya material ya Nguo zake,
Kuna Balo za China hizi bei yake Ipo chini Kidogo...
Je, umekuwa ukitumia pesa nyingi kwa mkaa? Au umekuwa ukipika kwa muda mrefu?
Kama jibu ni ndiyo, sisi mkaa wa kisasa supplies tumekuletea ufumbuzi kwa kuja na technolojia mpya.
Inayotumia...
Habari wakuu,
Nina mpango wa kwenda kupanga na kuanza maisha yangu mapya,
Hivyo natafuta samani za ndani iwe kwa moja moja au hata vyote kwa pamoja kwa wenye navyo.
Samani hizo ni kama
Godoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.