Laptop aina ya HP inauzwa, ipo katika hali nzuri bado mpya.
Specifications;
Ram 4GB
HDD 500GB
processor i3
DVD RW
WEBCAM
WiFi
windows 7, 64 bit
Any serious buyer call/txt 07546*****
location...
Amani kwenu wadau,
Nauza tv flat aina ya star x '22, bado mpya na makaratasi yake. Imetumika miezi 2 tuu. Box, remote na cable zake zote vipo.
Any serious buyer call/text 0754669580
price...
Poleni kwa majukumu ndugu zangu, ninauza shamba langu ukubwa wa heka 1.5 kwa Tsh. 2,500,000/=
Shamba liko Bomang'ombe karibu na kituo cha Kwa kiliwe kama unaelekea Moshi, shamba ni langu...
Husika na kichwa hapo juu nauza hili blanket zito na kubwa kwa bei poa ya shiling elfu 50 sababu za kuuza kuna jingine nililetewa jepesi nikalipenda zaidi sasa ili inanibidi niuze coz mkoa niliopo...
Amani kwenu wadau,
Smartphone aina huawei G510 na usb modem aina ya vodafone k3772-z zinauzwa.
Zipo katika hali nzuri, hazina tatizo lolote.
kwa yoyote anayehitaji anichek 0754669580.
bei ya...
DELL OPTLEX 755 inauzwa.
SPECIFICATION:
HDD 250GB
RAM 2GB
DVD R/RW
WINDOWS 8.1 PRO
64 BIT OPERATING SYSTEM TYPE
PROCESSOR: CORE 2 DUO CPU 2.33 GHz
price 220,000/=
negotiable; Yes
contact...
Ni MPYA na za KISASA KABISA.
Zipo mbili ktk eneo moja lenye utulivu wa kutosha.
Ziko ndani ya Fence.
Vyoo vya ndani.
Kila moja ina vyumba VIWILI, kimoja ni Master Bedroom, sebule na...
Amani kwenu wadau,
Nauza tecno spark k7 gold cover ipo kwenye hali nzuri imetumika wiki 3 sababu ya kuuza nataka nichukue simu kubwa zaidi ya hii.
Specification zake:
DUAL SIM
16GB ROM + 2GB...
Kitanda cha CHUMA kizuri,kimetumika kidogo sana na GODORO lake vyote kwa pamoja vinauzwa jumla 200,000. Viko tegeta DSM.Mawasiliano - piga,SMS au whatsapp 0628-796778 au 0628-615685
Wakuu habari za muda huu:
Nimerudi tena... Vifuatavyo vipo tayari kwa anayehitaji. Vitu hivi nilikuwa navitumia mwenyewe ila kwa sasa sina matumizi navyo. Navitoa kwa bei iliyo fair kabisa...
Wakuu ninauza kiwanja changu 66ft kwa 131ft kipo uelekeo wa Chanika (kutokea Pugu) kituo kinaitwa Kwachikila (Karibu na Sheratoni). Ukishuka hapo bodaboda ni elfu 1 hadi 1.5 mpaka unafika kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.