Nafanya ufundi wa vitu vifuatavyo:-
1. Nafanya LAN ya uhakika na kufunga access point( wireless)
2. Nafanya installation ya cctv cameras kuanzia maofisini, dukani na hata majumbani nnazo cctv za...
Natafuta mtu au kampuni inayoweza kusuply 100kg za makaa ya mawe kila baada ya siku saba.
Kwa biashara zaidi njoo PM sasa hivi nikupe utaaratibu.
Aksante.
Habari za leo!
Kuna shamba linauzwa maeneo ya Kiromo Bagamoyo kilomita 5 kutoka Bagamoyo road.
Ukubwa wa shamba ni heka moja na limepandwa mihogo mwaka jana december.
Bei ni million 7.5 na...
Hii nyumba ni kubwa ina vyumba vitano viwili ni self-contained ( ni vya juu) na vitatu ni vya chini pia ina public toilet ,seating room
kubwa, jiko na uwanja mkubwa wa kutosha Nyumba ipo...
Tangazo Wahi viwanja Kiwanja Kibaha miembe saba mita 20*20 (Square mita 400) bei Million 4.5 mteja unaweza kulipa 250,000/= kila mwezi kwa mwaka na nusu ukitaka kulipa cash bei Million 4 kamili...
Bidhaa Toka China jipatie kwa Bei nafuu kwa wale wa madukani upate faida maradufu.
Hereni set 10,000
Bag set elfu 35
Taulo set elfu 15,000 zipo nne.
0757066208
DUKA LA PRINCE COLLECTION WAUZAJI WA VITENGE KUTOKA KONGO KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
Hitageti- Jumla-25,000 na rejareja-27,000.
Nichem- Jumla-22,000 na rejareja 23,000.
Java- Jumla-31,000 na...
Jipatie vitenge aina mbalimbali kutoka Smart African Designs..
Bei ni nafuu kuanzia 25,000/= Culture na 30,000/= Mckenzie original..
Kwa mawasiliano/Whatsapp: 0786527572
Mikoani tunatuma...
Ipo katika hali nzuri
Ipo Arusha
Ilinunuliwa Norway
Bei ni laki 4 kamili.
Sababu za kuuzwa ni kutatua tatizo la dharura.
Kwa mhitaji na maelezo zaidi piga 0718585346
NB
Picha za mbele...
Habari wakuu?
kampuni ya Oceankiss ya magodoro inahitaji wauzaji magodoro wa reja reja na Jumla ili waweze kuwa agents wetu na mtanunua magodoro kwa gharama nafuu moja kwa moja kutoka kiwandani...
Viwanja vinauzwa vipo Mita Mia tatu kutoka ziwa Victoria vipo maeneo ya Luchelele.
Usafiri wa daladala Hadi kiwanjani kimepimwa na taratibu zote zimefuatwa.
Bei ni mil 16 tu.
Ukubwa ni square...
DOREENMUNIS HOUSES PLUMBER COMPANY
Tunafunga bomba/mifumo ya maji safi na taka kwenye nyumba mbalimbali iwe nyumban au maofisin.
Huduma zetu ni bora,nafuu na uhakika kabisa, hautojuta kufanya...
Nauza Jenereta kama unavyoiona kwenye picha hapo na specification zake, unaweza kutumia nyumbani, dukani, salon , au ofisini n.k ipo vizuri kabisa haina shida yoyote ni kama mpya tu.
Ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.