Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wana jf.kuna nyumba inauzwa ipo morogoro maeneo ya bima kama nusu kilometa kutoka msamvu inavyumba vinne ambapo kimoja ni master bedroom.kiwanja chake ni low density kwaiyo ina eneo kubwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi najuwa kuna wajuzi na wajuvi wa mambo nimehangaika hatimaye Narudi nyumbani. Nina tv aina ya LEXSOR LCD INCHI 32" niliinunua zanzibar mwaka 2014. Sasa imeharibika inatoa mistari hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunafahamu wazi, unakutana na mafundi mbali mbali wa kupendezesha nyumba yako. Lakini sisi tuko tofauti kidogo kwani tuko na: 1. Uwaminifu 2. Uharakishaji wa kazi. 3. Kazi nzuri yenye kiwango...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya Itel imetembelea kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chalula na vifaa vya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Specification Ram 4gb Storage 320gb Charge inakaa masaa matatu Bei 300000 Tunapatikana sweetcorner, Mwanza. Mawasiliano 0621915752
1 Reactions
0 Replies
476 Views
Raba zinapatikana Kinyerezi mwisho Dar-es-salaam Size 40-44 tsh 13,000 Size 34-37 tsh 7, 000 Call/sms/WhatsApp 0713047504
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu habari. Nahitaji mojawapo ya simu tajwa hapo juu mwenye nayo tuwasiliane. Iwe used isiwe na tatizo lolote. Napatikana Dar. Piga au tuma meseji kupitia 0654 626 212.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mashine bado ipo vizuri HDD 500 GB Ram 8 GB Chaji 4hr Process 3.0ghz core i7 Bei 450000 No 0714018677
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Metatron lift Co LTD, tunasambaza Kwa jumla na reja reja ( Kokoto NYEUSI toka Lugoba, Mchanga wa kujengea na mchanga wa plasta, mawe pamoja na vifusi. Ofisi zetu zipo: Metatron lift Co LTD...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari zenu, nyumba inapangishwa ipo temeke vertenary ina vyumba vitatu,choo kipo ndani chumba kimoja ni self contained karibuni hizi ni baadhi ya picha za vyumba hizo chini kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bei 735000 Sifa zake Bluetooth Usb Fm radio Aux cable Remote control Warranty mwaka 1 Usafiri bureeee Wasiliana nasi 0714092524》》0769101045 WhatAssap 0714092524 Tupo Magomeni Mikumi
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Ninauza PS4 Slim (imetumika kidogo), ina pad 2. Capacity 500GB. Nipo Dar (mkoani nitatuma pia but kwa gharama ya mnunuaji). Bei TZS 780,000/= Comes with CD ya Fifa19 Mawasiliano: +255 752 998 891
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajasiriamali, Nahitaji kilo 1000 za rosella kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kuongeza thamani. Kama kuna mtu anazo au anajua mkulima kwenye nazo naomba msaada wa kuunganuishwa naye. Asante
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Makochi yapo full set, matatu though moja hapo halionekani ila lipo, makubwa mawili na dogo moja, bei 400000, kabati mninga limetoka kioo cha katikati 250000, anaehitaji piga 0744833541,yapo Sinza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Jamani inahitajika gari ya kukodishwa. - Aina: Noah - Model: Yoyote - Jambo kubwa iwe vizuri, katika msingi wa muonekano, uzima na vibali. - Location: Dar Es Salaam. -...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo . kiwanja kimepimwa Maji ya dawassa Umeme Na huduma zote za...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Bei ya Tsh 260000/= Location buguruni shell Call 0746696878 No crack Ipo katika good condition
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Habari za asubuhi. Instagram account: thechef_kidzone. Ni restaurant yenye mandhari ya nyumbani na good for family, tunapokea orders za shughuli ndogo ndogo zisizozidi watu 100, kama birthdays...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Back
Top Bottom