jipatie moka kali za kijanja from italy kwa gharama nafuu ya 130000 tu
unaletewa mpaka mlangoni kwa walioko dar
vimebaki vya design moja ila nitakua naupdate
mawasialiano
0765 494548
Sent...
UPDATE
Kutokana na price competition, nimeamua kupunguza price ya mkaa wangu kwa TZS 4000/=.
So, Bei mpya ya mkaa ni TZS 23,000/= Tu.
More information...? Njoo PM (uwe serious)
Ni mkaa wa Njombe...
Tecno LA7
RAM 2GB
Internal Storage 16 GB
Front Camera 8M
Rear Camera 13M
Bei 160,000 fixed
Iko Vizuri sana
Ipo Uhasibu Tia-Mbeya
Call/Text/WhatsApp 0716752870
Clean condition
Second hand from China
Ram 4 Gb
Internal 32 Gb
Android 9.0 unaweza upgrade to android 10
Camera kali sana 12 mp supporting portrait mode , nightsight camera and 4k videos
Usb Type...
Hlw Wana jf
Karibuni mjipatie pumba nzuri kwa ajili ya mifugo inachakula Cha kutosha
Tunapima sado 1000
Nusu sado. 500
Gunia 27,000
Gunia linakuwa na sado 30 na Zaid
Wale wateja wataochukua...
DSJ - JULY INTAKE
Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha.
SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO
1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya...
Hellow!
Serikali ya viwanda oyee.
Napenda kuwakaribisha wote wanaohitaji Sahani za keki/ Cake board
Kwa idadi yoyote JUMLA na REJA REJA
Tupo Iringa,
tunasambaza bure ndani ya Iringa na kwa...
Hebu wanandugu wale waliosoma pale Old Moshi (Moshi sec) tujikumbushe maeneo kama Rau, Madukani, KCMC kwa Mama Recho, Mwl Boxer, Mama Kalambo, Mjomba Paka (RIP). Form six asiyemaliza (Uisso) Mwl...
Nauza sungura Wa kisasa newzealand white,chinchilla na dutch mmoja 30000 nipo mbezi Makabe Dar es salaam..
Wanafaa kwa ajili ya kufugwa na kuliwa km nyama wapo wengi sana napokea oda za...
Frem inapatikana UBUNGO kituo cha mabibo hostel inatizama barabara ya Mandela Sekunde 10 (kutoka barabarani)
ina eneo la kutosha upande wa mbele na pembeni kulingana na eneo husika kuwa na...
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160926.
Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-es-Salaam. Kwa maelezo zaidi...
[emoji736] Kausha mafuta yote na vipele vyote kutokana na mvuke unaotoka kwenye kifaa hiki.
[emoji736] Kinatumia maji kidogo sana
[emoji736] Ufanye uso wako uwe wenye afya na wenye muonekano...
Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
Ni rahisi sana kwa mwanao kujifunza ikiwa mfumo wako wa kumfunza ukionekana sio wakutumia nguvu bali kama unaoambatana na michezo na furaha fulani.
Hizi tablets zimekuwainstalled na apps...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.