Mark 2 Gx 100, 1G kavu engine
Engine haijafunguliwa,
Mwaka 1999
9-10km/litre
Full AC
Music with touch screen redio +buster
Clean ndani, hakuna uchakavu ndani
In good condition... Bettry n50 mpya...
Wakuu msaada wa kujua wanapouza hizo camera kama ikiwezekana na mafundi wa kuzifunga ndani ya nyumba kwa Mwanza kuna wezi wananisumbua sana. Leo mara ya tatu wanaiba vitu usiku. Nataka kuzaa nao...
Hii ni thread maalum kwa wadau wote wanaouza maeneo sehemu mbali mbali hapa Tanzania, na pia kwa wadau wote wanaohitaji kununua maeneo.. #SellersMeetBuyers
Kama unauza eneo lako tiririka mama...
Toyota landcruiser hardtop for sale in a good condition
Mileage 98000 km
Manufacturing year 2011
Price 90 million t sh
Location in dar es salaam
Contact +255714787795
Naomba kujua zaidi juu ya wapi napata driving school hapa dodoma na jezi gharama zipo je?
Je, naweza kupata ata kujifunza kwa minimum time ya 2 weeks?
Nisaidieni
Habari Wana Bodi
Natarajia kufungua ofisi/workshop kwa ajili ya kutengeneza Milango na Frame za Milango za Mbao.
Eneo: Goba njia panda nne - Dar es Salaam.
Hii ni ofisi/workshop mpya, kwa hiyo...
Nyumba inauzwa ipo Jijini Mwanza katikati ya Nyegezi kona na stendi ya Nyabulogoya,pia kuna eneo limebaki kwa ajili ya kujenga nyumba nyingine,Eneo linafaa kujenga guest house.
Ukubwa wa eneo; 30...
geji 30 sh. 20,000 tu kwa pc
geji 28 sh. 26,500 tu kwa pc
geji 32 sh. 15,000 tu kwa pc
kofia/Valley sh. 10,000 kwa pc
misumari(rangi) sh. 9,000 kwa kilo
KELVIN HAULE NIPO DAR 0714573462
Hello there wana-JF!
Mimi ni mgeni katika forum hii, but i can see you are doing fine helping each other! Thats cool brothers, Keep it up!!!
Naishi hapahapa Dar, na nina plan ya kuanza...
Habari za asubuhi wana jamii kutokana na maisha kuwa tight sana naomba msaada wa ramani ya chumba master na sebule kwa wale wajuzi ili niikimbie hii adha ya kodi za nyumba asanteni sana
Sent...
GOBA-KULANGWA
Plots zinauzwa zipo kwenye good location ndani ya Goba Kulangwa.
size of plots A
1.sqm 400- 26m (negotiable)
2.sqm 400 again ikiwa na nyumba ndogo-27m (negotiable)
3.sqm 700_30m...
Habar wana Jf hope ni wazima
kama unamaitaji au shida ya pesa za zamani SHILINGI MOJA pesa ya kitanzania toleo la mwama 1982 zipo nyingi to naziuza serious buys njoo inbox kama unaziitaji
Bei...
Habari zenu waungwana,
Ninatoa huduma za:
Usafi wa Nguo(Kufua na Kupiga Pasi)
Kusafisha Masofa Aina zote
Kufua Mazuria
Kusafisha Nyumba.
Mwenye uhitaji wa huduma hizo anitafute kwa namba...
kiwanja kina ukubwa wa square meter 713
- kina hati miliki
- kiko barabarani( barabara ya lami ya mbweni)
- kimezungushiwa ukuta mrefu mpaka juu
- bei maelewano (piga simu)
Mawasiliano: 0765...
Kitabu chetu kwa sasa kinapatikana Mkoa wa MARA, DAR ES SALAAM, MOROGORO NA MWANZA. Kwa watu waliopo maeneo hayo au jirani na maeneo hayo wasiliana na mawakala wetu.
KUPITIA KITABU HIKI CHA...
Camera: Canon 5D Mark III
Lens: Canon EF 24-70mm f/2.8L
Camera Gimbal: DJI Ronin S
Laptop: MacBook Pro 15’inch 500GB
Hard Drive: 1TB Transcend
Camera mic: Rode VideoMic Pro
Headphone: Sony...
Natafuta dereva wa bajaji kwa hapa Dar es salaam. Bajaji zipo mbili maeneo ya Temeke Mwisho, dereva awe mwaminifu na hesabu kwa siku elfu 15,000 .
Mdhamini mmoja muhimu, kwa maelekezo zaidi piga...
Habari wakuu. Natarajia kupokea pesa toka nje ya nchi na moja ya njia ambazo mteja Wangu anatumia kulipa ni Skrill na pay pall.
Nimeshafungua account ya Skrill ila naomba kupata uzoefu ni jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.