Wakuu habar za asbuh , Mwenye ujuz ,uzoefu na logistics au usafirishaji Wa makaa ya mawe naomba aje inbox tufanye biashara maaana nahtj huduma hyo. Ahasanteni.
Ninaomba wakuu mnaoilewa toyota brevis, ninapenda brevis yenye cc3000, je kuna utofauti mkubwa wa fuel consumption kati ya brevis ya cc3000 na ya cc2500? Na je nitakapotaka kuiuza brevis yenye...
Njoo jipatie viwanja vilivyopimwa,maeneo mazuri yenye mahitaji yote ya msingi..maeneo ni goba na madale plot zimebaki chache karibuni
price ni 35,000 Tsh kwa square meter
unaruhusiwa kulipa kwa...
TUNAPOKEA WANAFUNZI WA QT, FORM 4 & 6 RE-SITTERS, ENGLISH COURSE,
COMPUTER COURSE, FRENCH & CHINESE COURSE.
VIDEO PRODUCTION(SHOOTING & EDITING)
TUITION: KWA KIDATO 1 - 6 (ARTS, SCIENCE &...
Salute guys,
Nina swali moja tu kwa wafanyabiashara na wajasiriamali.. Je, unaweza kuitangaza biashara yako ndani ya sekunde 3 tu?
Utafiti wa saikolojia ya mteja (customer psychology) unasema...
PLOTS FOR SALE DAR ES SALAAM
Location:
[emoji810]MBEZI (kimara) Luguruni
Viwanja viko nyuma ya chuo cha st. joseph mita 700 kutoka morogoro road kwa bei nafuu kabisa
[emoji810]MBWENI
Viwanja...
Wakuu Nawasalimu kwa mpigo popote mlipo mnapolijenga taifa.
Mie ni mtaalam wa masuala ya fedha kwa kiasi chake, nimetengeneza spreadsheet template ambayo inawezesha ku-manage/track bidhaa/stock...
Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level.
Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni...
ORIGINAL WIRELESS EARPHONE IPODS i11
Full box..bado mpya kabisa
Pure Bass
Touch control
Charge 6hrs
hazichagui simu all smartphone zinasapot
Maeneo ya karibu na ilala tunafanya deliver
*Price...
Karibu Tanzania Septic Solutions tukupe ushauri na kukujengea makaro ya kisasa ya choo yasiyojaa katika kipindi chote cha matumizi yake tupigie number 0672 883 447 kwa maelezo zaidi na kutembelea...
Habari waungwana!
Kiwanja cha ukubwa tajwa hapo Juu kinaizwa Mjini Kibaha.
Eneo lilipo Kiwanja:
Kiwanja kipo Kibaha, Picha ya ndege kata ya Sofu, Kilometa 4 toka Barabara kuu ya Morogoro.
Block...
Habarini wapendwa inahitajika nyumba ya kupanga kuanzia Banana hadi Gongo la mboto.
Nyumba iwe na chumba cha kulala 1
Iwe na sebule
Iwe na jiko
Iwe na choo cha kujitegemea
Bajeti ya kodi isizidi...
Agiza mashine hizi na tutazileta mpaka ulipo. Tupo China, Duka lipo magomeni Dsm. Pia unaweza kuagiza chochote kutoka China na tutakufikishia.
*MASHINE ZA KILIMO*
*1. Mashine ya kukatia...
Habari wakuu, karibuni sana muweze kuniunga mkono kwenye biashara yangu.
Hapa takua napost na kuuza vitu used na vipya pia. Ukiona kitu ukakipenda tafadhari wasiliana nami kwa maongezi zaidi, of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.