Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
processor i5 @2.67GHz RAM 4GB HDD 500GB INVIDIA GRAPHICS 4GB(gaming pc) BATTERY 2HRS (ni gaming pc na ndani ina games 2 fifa na need for sepeed) pc haina tatizo ila nnashida na kodi bei 250000...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Wakuu kwanza nawasalimu,Nauza simu tajwa hapo juu kwa bei sawa na bure kwani bado mpya kabisaaa. Bei 250,000,Ipo Dar es Salaam,Mawasiliano 0711701742 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji gari ya kukodi kwa bei nafuu Dar muda wa mwezi mmoja kuanzia tarehe 20 Januari. Takuwa na shughuli za ujenzi hivyo takuwa nazunguka nayo kwa shughuli ndogo ndogo. Nahitaji gari kama...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu sehemu gani Dodoma wanachongesha vitanda vizuri quality vya mbao kama vile mninga au mkongo?
2 Reactions
37 Replies
9K Views
Migongo mipana Kampuni: Ando Gauge28 Rangi carrot Mahali Dodoma Vipimo Upana cm 190 Urefu 6.0m lipo 1 4.8m Zipo 3 na 3.6m ipo 2 Jumla mita 27 Bei 13000 kwa mita Mwenye interest tuonane
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza samaki sangara wabichi toka Mwanza kwa bei ya jumla kwa wenye mabucha na wahitaji wengine walio Dar na maeneo jirani. Kiwango ni kuanzia kilo 100 kuendelea. Bei ni sh 6,500/= kwa Kilo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za leo Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nahitaji gari nzuri ninayo milioni tano nipatikana Arusha . karibuni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina bajet ya Tsh. 100,000 wapi naweza pata mashine yenye uwezo wa ram kuanzia 2GB disk kuanzia 160 niko dar
0 Reactions
6 Replies
2K Views
E72 = 140K, E71 = 130K, E63 = 130K, N86 = 150K(8MP & 8GB) ASHA 302 = 130K, C1 = 80K, C5 = 100K. LOCATION : KIMARA. CONDITION : USED BUT CLEAN FROM UK ACCESSORIES : OLY CHARGE CONTACT : INBOX...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam. Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nokia 5.1 plus 32GB 3GB ram Android version 9 300,000Tshs 0759283908
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mimi nipo Moshi Mjini. Nataka kuanzisha mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa. Mashine nzuri ni yenye mortor yenye ukubwa gani ? Na kinu chenye ukubwa gani ? Gharama za kununua zikoje...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Picha hapo chini ina maelezo....... Sharti kuu, uwe mrembo (mwenye mvuto mbele ya kamera) na uwe radhi kufanya kazi for free maana this’s a free of charge deal... WhatsApp: +255676095799 Nitumie...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauza asali mbichi kutoka katavi ambayo haijachanganywa na haijapikwa . Karibu Sana utoe Oda yako ama kwa maelezo zaidi piga namba 0758170118 ipo wsap pia ...plz support my hstl
1 Reactions
2 Replies
875 Views
Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello wadau, Natafuta mtaalamu mwenye uwezo wa kutengeneza na kuchanganya high quality graphics na videos kwa ajili ya marketing. Sifa: 1.) Awe na ujuzi wa kutengeneza na kuchanganya sauti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wenye kuhitaji kusajil kampuni.. usiteseke wasiliana nasi tuweze kukusaidia. tunatoa huduma kama vile. 1. kusajili kampuni brela na tin ya kampuni (TRA). 2. Tuna Andaa memorandum d 3...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Kuna vifaa vya salon vinauzw Kama ifuatavyo 1.machine 2.vioo 3 vya aluminium 3.kabati ya kutunzia vifaa. 4.generator 5.viti 2 vya kunyolea 6.vitambaa vya kunyolea 7.TV 8.voltage regulator Bei ni...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za wakati huu. Wakuu meza za vioo zina changamoto zake,zinapovunjika.. Mm wakati huu nikinunua itakuwa meza ya tatu. Sasa kabla sijanunua nyngne nauliza kama naweza nikapata spear ya...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Kama kichwa thread kinavyojieleza ..Raba hizi ni za kampuni ya Nike (varporfly or alphafly) zoom max..
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Back
Top Bottom