Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Gari ni ya mwaka 2005 Bado iko kwenye hali nzr kabisa na mahali popote inafika. Engine yake ni Yamaha 4 sylinder Bei 7.9m Maongezi zaidi 0756060183
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Deals on security concepts: >Cctv camera >Electric fence >Intercom > Gate moter >Intruder alarm For more details call us +255762061539 Location: Dar es Salaam "Together we build"
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Nauza kiwanja eneo la vikindu vianzi chenye ukubwa wa square metre 345 gharama yake ni milioni tatu na laki tano.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naulizia bei ya pikipiki used huko zanzibar kwa mwenye uzoefu nasikia huko ni nafuusana.
0 Reactions
16 Replies
29K Views
kwa yeyote anaeuza kiwanja mitaa ya makongo juu au changanyikeni anicheki note;kiwanja kiwe flat na kifikike kwa urahisi mawasiliano: 0765 494 548
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Habari wakuu, Ninatafuta toyota porte ambayo haijaguswa ràngi wala body, iwe nzuri no D. Ninalipia 5m cash ndo budget yangu, tuwasiliane whatsapp tufanye biashara plz gari iwe nzima maana nazijua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni. Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mafundi wanaojua kazi hizo hapo juu kwenye interior na ambaye anaweza au alishafanya kazi ya kufitisha haya mabafu ya kisasa. Nitaitaji pia anaeweza kufanya timber finishing Naomba uje DM...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Wakuu nahitaji sim tank 2 zakununua napatikana Dodoma, nahitaji leter 1500 pia nahitaji leter 2000 kama unauza. Naomba unicheki WhatsApp kwa 0625695552
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Desktop Graphics Card Kwa 3D Designing & Gaming Memory 1GB Vram Ddr3 DVI & Display port Ina uwezo wa kucheza Modern Games kwa low settings (Tested on i5 2400 8GB Ram) GTA V, FIFA 18,19, PES...
1 Reactions
2 Replies
626 Views
Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Nahitaji godoro used, 5 kwa 6. Liwe kati ya inches 6 au 8. Nipo Sinza A, karibu na Mlimani City. Tuwasiliane kwa +255683018095
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anaetunia shisha ninaZo shisha pen nauza karibuni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ligi inarudi wadau chukueni mzigo huo vyote vipya na risiti zipo.....0686426298 Mzigo upo Dar es salaam.... kwa 260000 tu... azam nakusetia mwenyewe kwa 8000 tu ( nipe dili hilo) Hdmi pia ipo...
0 Reactions
4 Replies
736 Views
Nauza vitu tajwa hapo juu Bei 400,000 tu vyotee Nipo Dodoma Call/sms 0715140001
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nauza hichi kitanda cha 5x6...Nilikinunua mwezi wa 3 tarehe 17 hivyo kina miezi mitatu kasoro tu tokea kinunuliwe na upya wake, kikiwa kipya kinauzwa Tsh 547,000/= cash...nakiuza...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level. Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi, Nauza Mac book pro 13 ya mwaka 2017 kama spare Machine kuna kitu kimeharibika ndani kina cost 500k, Motherboard / display/ Kioo/ HDD ram processor vyote vizima kabisaa. Kwa yoye...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Ni nyumba ya chumba 2 inachukua eneo dogo tu la 40,05 m² Quarto maana yake ni chumba(room) Sala maana yake ni ukumbi(sitting room) Banheiro maana yake choo(Toilet) Cozinha maana yake...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom