Mashine ya kukamulia juice ya miwa ni bei gani nahitaji na tips za kufata kwa ajili ya kufungua juice point nikipata mwalimu au mtu anayeweza kutengeneza juice nzuri tunaweza kuungana kufanya...
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa...
UPDATE
7/10/2019
Mashine za kutengeneza mkaa kwa mkono zinatengenrzwa na kuuzwa.
Hizi ni maalumu kwa wanaotaka kuingia katika biashara hii ya kutengeneza mkaa wa kisasa bila kuwa na risk kubwa...
Habari wadau!!
Tunauza mchele kutoka mbeya kwa bei ya jumla. pia tunachukuwa tender za kusupply/kusambaza katika taasisi mbalimbali,kama vile mashuleni, vyuoni na sehemu yoyote inayohitaji bidhaa...
Habari za majukumu.
Nauza AC ni nzima kabisa unakuja kukagua ikiwa haijafunguliwa ukiridhika unalipia unafungua unabeba
Nauza sababu nahama napoishi na baadhi ya vitu sitakuwa na uhitaji navyo...
Pata mabati bora ya rangi na vigae imara kwa bei nafuu na usafirishiwe bure mpaka site.
KARIBU SANA
CALL: 0689620044
TABATA SEGEREA, DAR ES SALAAM
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanajamvi, bila shaka kichwa cha habari hapo juu kimeshajieleza.
Mimi ni mfanyabiashara, nina gunia 20 za vitunguu swaumu sasa kwa yeyote anayefahamu soko zuri la bidhaa hii naomba...
Nauza kitanda kizuri cha kisasa kimetumika ila bado kina hali nzuri sana. Size ni 5 kwa 6 na kipo Tegeta Kibo, DSM
Mawasiliano 0683-796778 - bei inapoa kidogo.
Naitaji Desktop Mpya yenye Specifications za kisasa kabisa na window 10 genuine.
Kioo cha inch 14
CPU i7
Microsoft Office
DVD room
Ram 8gm
Kwa mtu yeyote mwenye nayo ani- DM
Habari zenu wakuu?
Nina mafundi wazuri na wazoefu wa kufanya skimming na hatimaye rangi kwenye nyumba/jengo na pia nina fundi wa tiles.Wote wana uzoefu wa zaidi ya miaka 10.Wanapatikana Tanga...
hii smartphone nimeipenda nimejaibu kuitafuta kwa apa bongo zijafanikiwa kwa kweli,naitaji kuagiza china but sinaufahamu wowote kuhusu hii simu nimevutiwa sana na upande wa beti yake ni 5500 mAh...
Hello! Habari wakuu,
Niende direct kwenye mada, kutokana na shughuli zangu ninazozifanya kwa sasa, nalazimika kutafuta usafiri wowote mdogo wa gari (gari ndogo) ili kurahisisha kazi yangu na...
Ubora wa mbolea za yara upo kwenye virutubisho vilivyomo. Mbolea hizi zipo katika mfumo wa punje punje ambapo kila punje ina virutubisho zaidi ya 6 ukilinganisha na mbolea zingine. Virutubisho...
Music system kwa ajili ya sherehe, live band & matamasha unauzwaa:
Contacts 0658644485
Price: *Million 8.5*
Location: Majumba 6 Dar
Ukitaka Nusu nusu tunaongea kulingana na unachotaka
Unabeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.