Ni wauzaji na wasambazaji wa chakula bora cha mifugo, wanachakula cha Ng'ombe, hiki hunenepesha ng'ombe wako na kuongeza lita ya maziwa.
Chakula cha nguruwe, kuanzia watoto wa wadogo, mwenye...
Habari wadau,
Kwa yeyote mwenye idea ya mtu mtu yeyote au kampuni yeyote that’s needs waste/ crude oil kwaajili ya kuendeshea mitambo mikubwa mikubwa tafadhari tuwasiliane natanguliza shukrani...
Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto Majohe, nyumba Safi ya kisasa, ina vyumba vi 4 na master 1, public toilet, fance ya ukuta. Mahitaji yote muhimu ya Umeme na maji yapo.
Kodi kwa mwezi ni 250,000/...
Habari za muda huu.
Naomba Kama kuna mtu anaweza nisaidia wapi nitapata waya wa Simu ya mkononi ambayo unatoka kwenye Simu kwenda kwenye mkono wa kuongelea
Simu yenyewe Kama hiyo hapo no aina ya...
Upo Dodoma na unahitaji usafi wa Nyumba yako, Ofisi, Sofa, Kapeti, Godoro, bila kusahau huduma ya Fumigation ambayo ni muhimu sana hasa katika kipindi hichi cha janga la corona basi usipate tabu...
Ya umeme Tsh 1,390,000. Isiyotumia umeme (unasukuma kwa mkono) Tsh 730,000. Zote ni mpya kutoka China. Duka lipo DSM Kinondoni Mkwajuni nyuma ya ccm. Simu 0715316614
.
Bei tsh 1,399,000. Material ni stainless steel haishiki kutu. Inachujio inachuja pia. Inakamua aina 24 za mafuta kama nazi, karanga, ufuta, mahindi, alizeti nk. Umeme 1.5KW. Voltage 220V. Duka...
BEI TSH 1,850,000. Ni ya umeme, mota 3.0KW, Voltage 220V (umeme wa nyumbani). Inakoboa ZAIDI ya gunia mbili kwa saa.Duka lipo kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. Simu 0715316614.
.
Kwa huduma zote za kuwa "Smart" karibuni Sana Olomi Dry Cleaners, mkabala na Hospitali ya Tumaini Hapa Mjini Singida.
Kwa Mashine za Kisasa kabisa, Tunafua Nguo Aina Zote na Kunyoosha (Kupiga...
Waungwana natumai mko poa na wiki imeanza vizuri. Nauza gari tajwa hapo juu kwa bei ya kitanzania rahisi kabisa shilingi milioni saba.
Sababu za kuuza ni kuwa hii gari imekaa tu haitumiki, mimi...
Habari Wana jamiforums natafuta kijana anae jua wapi naweza kupata samaki wa kwenye mito TANGA.
Kuna Aina ya samaki nawataka sio kambare Wala perege ni scatt Kama mtu yuko tayar na anafaham...
Habari za majukumu wadau.
Nahtaji TV Showcase iliyo katika kiwango kizuri, iwe ya mbao na bajeti yangu ni Tsh. 90k.
Ipo mfuko wa shati hapa kama ipo nichek kwa namba hii 0768069716 chap!
Kwa mahitaji ya spea za malori ya kichina Faw na Howo aina zote kwa wanunuzi wa jumla na rejareja wasiliana nasi au tutembelee
Tupo Ilala, Dar es salaam
Mikoani tunatuma
Piga:0738837682
Karibuni...
Tunatengeneza Business Card aina zote, logo, vitabu vya risiti, kava za vitabu na mabango makubwa ya biashara kisha unatumiwa kwenye email yako au WhatsApp popote ulipo itakufikia.
Unatuma SMS...
Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR.
Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo.
Nauza kwa laki 5 tu.
Ipo Mbweni JKT, Dar.
Wasiliana Whatsapp 0625536529
Samsung...
Habari za jumapili, wanajukwaa poleni na mvua zinazoendelea, naenda straight to the point Nina plan ya kununua BODA BODA,mpya aina ya Sunlg,hachue,ila mpaka Sasa nimesave 1million,ila naomba kujua...
Habari za asubuhi wana jf?
Nauza maziwa fresh. Lita 5 shilingi 10,000. Ikiwa zaidi ya lita 10 tunaweza kupunguza bei.
Maziwa ni mazuri, hatuchanganyi maji hata kidogo na ng'ombe wanatibiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.