Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habarini ndugu. Naomba kujua bei ya kioo cha sumsung tv led inch 32 na pia bei ya tcon yake. Nitashukuru sana wakuu. Allah kariim
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau,,,,ninauza canter ya tani nne kwa bei nafuu, imetembea km 48500 tu, na bodi lake Lina urefu wa mita 4,,,,,,kwa maelezo zaidi piga namba 0783696253,,,ninapatikana dar es salaam
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari, Wakuu nahitaji gari ya kununua Suzuki Carry,yenye Box body nyuma iwe mpya kutoka yard au used kidogo nitafute kwenye number hii 0762508455.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tunapatika keko tutakufikishia hadi ulipo .Tutafute instagram (Rigid furniture Tz 0758006014) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
RAM 4GB ROM 32 GB location Dar es salaam [emoji336] +255 789 898 514 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari ndugu yangu anahitaji shule ya kununua iwe ya English medium nursery na primary iwe na eneo kubwa kuanzia ekari 3. Shida yake anataka anunue shule ambayo tayari inafanya kazi eneo hiyo...
0 Reactions
7 Replies
894 Views
Hii ni fursa kwa wafanya biashara wa mpunga/mchele kwa maeneo ya pwani na dar es salaam karibu tukukobolee mpunga wako kwa idadi ya gunia zozote ulizonazo kwa maana mashine yetu ina uwezo wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
*********************
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Wadau habari, Natafuta sehem nzuri ya kufungua car wash kwa Dar; sehemu nzuri na ambapo humuda itakuwa ni ya uhakika au kama kuna car wash mtu anaiuza au eneo zuri napo naweza fanya biashara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa anayehitaji mtungi mtupu kilo15 orxy anichek kwa namba 0686055444 bei Tsh 50,000/= upo makumbusho Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Jamani naombeni kujua wapi wanauza vipuri vya hizi pikipiki maana nmehangaika sana kupata hata sidecover na rims zake Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanabodi? Ni matumaini yangu kwamba mko salama kabisa. Aidha, nawapongeza kwa mapambano makali dhidi ya huu ugonjwa wa korona. Kadhalika, tuendelee na utaribu wetu wa kuhakikisha...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nokia 7.1 inauzwa ipo katika Hali nzuri imetumika miezi miwili tu haina mikwaruzo yoyote Ni 64GB, Android 10, 4GBRAM, battery 3060mah ina charge mpaka 50% ndani ya dk 30, ni lain 2, Camera ya...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Wakuu nipo Iringa kuna ndugu hana access na social network amekuja TV yake imevuja wino kama kuna mtu Ana connection mahali tufanye biashara mpunga upo! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Liwe 5×6, Nch 6 au zaidi. Liwe Safi na lisiwe limetengeneza mtumbwi katikati. Nina elfu 70. Nipo Arusha Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
2 Reactions
38 Replies
39K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Imetembea 195,000km Namba D iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana hapo pichani Bei tsh milioni tano Location: Ubungo DSM Call: 0683 360972 Sent...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Khabari zenu. Wakuu nahitaji tv kutoka kampuni hizi ukubwa inch 32 Samsung LG, TCL au Hitachi Bajeti yangu ni 300,000.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ninampango wa kufungua mgahawa maeneo ya msimbazi Dar Es Salaam, kwa sasa ninashida ya vyombo na vifaa kwa anayeweza kuniuzia kwa bei nafuu Kwa atakayekuwa navyo naomba tuwasiliane kwa 0765374146
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Habar wakuu, nauza simu yangu Tecno spark 4. bado mpya kabisa kwasasa siitaki, nauza k250 tu, kwaAnayehitaji aje PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom