Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?
Upimaji usiwe Kwa foot
Tuseme mfano Kwa 20m Kwa 20m Kwa kuanzia.
Kigezo eneo lolote ila iwe ndani ya Dar
Wajuzi mtujuze📌
Habari wana Jf
Je unateseka na simu yako sababu ya kioo? usikate tamaaa suluhisho limepatikana. Je bado unateseka na chaja yako kuharibika mara kwa mara. Sasa agiza na mi china kifaa original kwa...
Kama unamzigo wowote kutoka Congo na zambia. Mzigo wowote tunakuvushia upande wa Tanzania Kwa usalama kabisa. Nipo boda ya Tunduma.
Kama una mzigo tunaweza fanya kazi. Muda wowote.
KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 YENYE SIFA YA KUTOTOLESHA MAYAI YOTE BILA KUBAKISHA HATA MOJA.
#SADAKALAWE
●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30
■Inageuza mayai...
Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi.
Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene.
Kwa kuanzia inahitajika tani 60...
KWA BEI YA 170,000/=TSH TU TUNAKUPATIA INCUBATOR YAKO YA MAYAI 30 .
#SADAKALAWE
●SIFA YA MASHINE YETU YA MAYAI 30
■Inageuza mayai yenyewe.
■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu.
■Inakuja na...
1. BUKTA
Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa bukta.Watu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni...
Wakuu Kwa sasa nahitaji kununua ardhi kuanzia hekari 4
Naomba kujua wapi napata ARDHI Kwa bei 150000 Hadi laki 2 kushuka hapo.
Natanguliza shukrani kwako great thinker🏆
Natafuta chumba au nyumba iwe master, eneo la Makongo Juu karibu na sheli ya Oryx au iwe mbali kidogo na sheli hiyo lakin upatikanaji wa usafiri uwe ni wa huakika kwenye barabara inayopita katka...
NAHITAJI CHUMBA(MASTER) YENYE CHUMBA KIMOJA MASTER NA JIKO, KIWE NDANI YA FANCE IWE KINONDONI AU MWANANYAMAKA KARIBIA NA BARABARANI. NICHECK WHATSAPP 0659741342
FURSA YA ASALI KWA MTAJI WA CHINI YA 200K .
Kwa kutumia laki na 70 (170,000) utapata yafatayo:-
1#. Pure Asali lita 20.
2#. Free Delivery to Magufuli stand kwa walio Dar.
3#. Free packaging...
Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam.
Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu...
Isaack.artz mchoraji wa picha za penseli black and white, napatikana makongo juu,dar. Nafanyia kazi nyumbani.
nAchora size ya A3,A2 na A1 karibuni
0712068462/0742083772
Najua humu ndani kuna wasanii kibao tu. Kazi hiyo hapo.
Sijaimix wala kufanya mastering. Project yake ipo na final project pia.
Nicheki PM kama upo interested.
Hello my lovely customers.
Asanteni kwa kunisapoti sana ,kipindi naanza hadi sasa nilipofika
Sasa Cake zetu tutazipata Mbeya mjini na viunga vyake vyote.
Karibu kwa ajili ya Oda,cake za matukio...
Hello wateja wangu wazuri[emoji4],
Karibuni mjipatie cake nzuri,tamu,zinazopendeza kwa ajili ya matukio mbalimbali kama birthday, graduation, harusi, engagement kitchen party etc.
Cake zetu bei...