Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Kama wahitaji laini za uwakala..unapata 4 ukiwa na laki 3 Vigezo ni Tin Number na Kitambulisho cha NIDA Napatikana Ubungo Kwa mawasiliano 0656652250
1 Reactions
15 Replies
458 Views
PROPERTY FOR SALE AT OYSTERBAY PRIME AREA JUST FEW METRES FROM HAILESILLASSIEROAD. IT'S VERY QUIET LOCATION PLOT SIZE: 4,170 SQM PRICE $ 3.3MIL NEGOTIABLE CALL 0756060183
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Habari za leo. Nimehamishiwa kikazi mwanza hivyo natafuta kiwanja budget 6-8milioni. Full document, location isiwe milimani na pawe panafikika
2 Reactions
6 Replies
361 Views
Wale wapenzi wa massage mliopo mkoa wa Mwanza au mnaotembelea mkoa wa Mwanza karibuni kwa huduma tiba ya kukandwa misuli a.k.a massage Nipigie 0759026697 kwa maelezo zaidi,karibu!
5 Reactions
8 Replies
456 Views
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu) Vigezo na mashariti 1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA 2. Uwe na TIN number...
2 Reactions
20 Replies
859 Views
Habari wanaJf,nilikuwa naomba kama kuna mtu anaejua bei za matank aniorodheshee za kuanzia lita 1000 mpaka lita 8000. Thanks in advance [emoji120]
1 Reactions
19 Replies
13K Views
Heshima yenu wana Jamvi. Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote. Router hii ina sifa zifuatazo Inaingiza line zote Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo...
0 Reactions
2 Replies
551 Views
Yamaha E 423 for sale sh 700,000
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Wakuu, Tunasaidia kusajili kampuni au jina la biashara (Consultancy). Kwa Haraka na Ufanisi. UMBALI SIO TATIZO.
1 Reactions
0 Replies
123 Views
Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub. Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta. Wana JF wengi humu...
55 Reactions
260 Replies
6K Views
• Direction: Sharifu Shamba • Rent: USD 500/month (payment in TSh is accepted) • Terms: 6/12 months • Brokerage fee: USD 500 • Viewing charge: TZS 20,000 . ✓ unfurnished ✓ lift & power backup...
3 Reactions
6 Replies
348 Views
Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
0 Reactions
13 Replies
335 Views
Hizi ni Sendo za kiume nzuri, imara na zilizotengenezwa kwa mikono. Hii ni bidhaa ya Kiafrika. nakuuzia kwa Tsh. 15,000 leo. Piga/WhatsApp: 0683535699, na nitakuletea ukiwa Dar.
5 Reactions
10 Replies
572 Views
Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
0 Reactions
3 Replies
459 Views
Habari wajumbe! Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me.
3 Reactions
36 Replies
5K Views
SOLD
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo 1. Umeme, sidhani kama kuna...
3 Reactions
2 Replies
219 Views
Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi...
2 Reactions
2 Replies
511 Views
Makao makuu ya wilaya (District Headquarters) ni kitovu cha kiutawala na kiuchumi kwa maeneo yanayozunguka wilaya. Maeneo haya mara nyingi yanachochea ukuaji wa uwekezaji kwenye ardhi kutokana...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…