Ninakodisha nyumba ya kukaa ya vyumba viwili,dining,sitting room na servant quarters yenye vyumba viwili nje na mabanda ya Kuku kwa kodi ya 650,000/-kwa mwezi kodi napokea kwanzia miezi 6 au...
Mahali lipo: Kishili Bukaga
Kiwanja : Kimepimwa upimaji Shilikishi
Ukubwa Wa eneo Ni 40 * 35 m
Boma: Lina vyumba vitatu, viwili Master, sebure, Jiko, dining, store, public toilet
Materials...
Hello jf jitahidini kuwapa ndugu zenu au mtu yeyote. Hii fursa ni nzuri sana...ni kama ajira ya moja kwa moja. Israel wako vizuri sana katika kilimo. Nitafurahi kama kati yetu humu jamvini atapata...
Habari nyote,
Napenda kuwakaribisha kwa huduma zetu,tunapulizia dawa za kuuwa wadudu warukao na watambaao,majumbani na maofisini.Huu ni muda mzuri kuangamiza haswa mbu ukichukulia ugonjwa wa...
Nahitaji MacBook Yenye specification zifuatazo
£ RAM not below 4GB
£ HDD not below 320GB
£ processor i5 or i7
£ batteries retain power more than 4 hours when in use.
£ Display Size any
£ It...
Ni wauzaji maarufu wa handbags [emoji162] za kisasa,viatu vya jinsia na rika zote,wallets,Nguo za jinsia na rika zote,Saa za jinsia na rika zote na vitu mbalimbali kwa Bei nafuu.Tunapatikana...
Competitive Intelligence ni kitendo cha kampuni kukusanya (gathering) na kuzifanyia kazi (analysis) taarifa za kisoko kwa lengo la kufanya maamuzi ya kimkakati (Strategic Decisions Making)...
Habarini wanajamvi kwa yeyote mmiliki wa canters kuanzia tani 2 na kuendelea naomba aniwhatsaap 0744043886 kampuni yetu inataka kumi (10) kwaajili ya distribution ya products zake Dar es...
NYUMBA INAPANGISHWA CHIDACHI
INATAZAMA LAMI
MAHALI ; Chidachi
SIFA ZA NYUMBA
-Vyumba vitatu vya kulala,kimoja master
-Jiko
-Sebule
-Open dining
-Public toilet
---------------------------
HUDUMA...
Specifications
Internal Memory 64GB
RAM 4GB
Dual SIM
Qualcomm Snapdragon 835...
Front Camera 13 MP/f 2.0
Real Camera Dual 13 MP /f 2.0
550000 /=TZS
Kwa bei ni PM tuongee unaweza kuja na fundi...
NYUMBA INAUZWA NKUHUNGU WEST
MAHALI; Nkuhungu west
MUUNDO WA NYUMBA
-Vyumba 04 vya kulala,kimoja master
-Jiko
-Sebule
-Dining
-Public toilet
---------------------------
HUDUMA
-maji 24/7
-umeme...
Nauza Samsung galaxy j5 pro 4G lite 16 GB Full metal 13mp/13mp finger scanner 64bit octa core processor. 131.8mm (5,2) HDsamoled
Ipo Arusha bado mpya sana imetumika miezi mitatu tu. Njoo na offer...
ninauza boma eneo chanika mwisho limejengwa nusu kama ulionavyo ukubwa ni 28 kwa 12meters ipo jirani na bara bara ina vyumba 3,master 2 na cha kawaida kimoja,store,jiko na seble shimo la choo...
Inauzwa haina ubovu wowote ule
Mwenye nayo anauza bodaboda
Wanamsumbuwa hesabu ya siku na hawajari chombo
Ina bima
Njoo huikaguwe na Fundi wako
Ipo Kunduchi Mtongani
Inausajili namba B ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.