Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu Naambiwa Maeneo Ya Kimara Temboni Imefunguliwa Bar Inaitwa 5N Kama Ile Iliyokuwepo Kimara Suca Hapo Awali. Naomba Kufahamishwa Ipo Temboni Maeneo Gani. Wasalaaam, Mjumbe Chama Cha Wanywa...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu wana JF Mimi ni Fundi mzuri Wa kujenga mabanda ya kuku Yale ya kisasa kabisa yanayoendana na aina na mazingira ya kuku kwa bei ya chini kabisa ya 30,000 kwa banda moja ukiwa na...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba kama Kuna mtu anajua zinapopatikana filter za kuchujia mafuta ya alizeti za sido anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Canon/nicon isiwe na tatizo Lolote pay iliyopo ni 300k
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Laptop iko sokoni probook 6360b RAM 4GB 64bit operating system processor Intel(R) core i5 cpu@2.5GHz HDD 500 window 7 390,000 Tsh Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
951 Views
Sifa Free local chanel HdmI cable Av cable Usb cable Price 40,000/= nilikuwa nakitumia kwa antena na kinapiga kazi fresh Note: hiyo pice ni king'amuz tu Nipo victoria, Dar es salaam
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunaunda mfumo utakao saidia mota kupandisha maji wakati wowote hata kipindi cha umeme mdogo. Mawasiliano 0629068815
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf Nauza mpunga wangu ambao natarajia kuvuna jumapili hii... Kama unahitaji tuwasiliane 0712718228
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama ulikuwa unajiuliza wapi naweza kuagiza vifaa vya electronic ,flat tv simu kwa urahisi na nafuu hii ni fursa yako , zmotion tunachukua oda yako na kukusafirishia mzigo wako kutoka zanzibar...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nahitaji mini Div player kwa ajili ya kufanya capturing ya video material kutoka kwenye mini Div kwenda kwenye external HDD. Hizi tapes zimekaa muda mrefu bila rewinding/forwarding.
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Nauza sumsung galaxy tablet T555 ambayo inatumia SIM card na Wi-Fi na hivyo unaweza kupiga na kupokea simu. Ipo katika hali nzuri sana. Ukubwa wake ni inchi 9.7. RAM 2 GB, storage ni 16 GB...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
•Available earphone orginal za Samsung kwa bei rahis kbsa tsh 30000 •jipatie charge orginal kbsa Type C za Samsung and ni Fast charge tsh 20000 Tupigie 0654770800 •Tunafanya delivery na mkoani...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Habari wakuu. Nimeona mahala hii kitu, kwa hapa Dar sehemu ghani napata na kwa bei ghani? Ahsanteni.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau Nahitaji PlayStation 2 haraka hata yenye pad moja,imechipiwa na ina flash.Kifupi Wezi wamenivunjia na kuniibia ofisini Kwangu Unaweza kunicheki DM au 0787249021 Napatikana tabata segerea.
0 Reactions
5 Replies
701 Views
Jamani natafuta TOYOTA ALLION number D amabayo ipo kwenye hali nzuri nahitaji nimechoka kutembea kwa mguu nami nisukume ndinga mjini sasa
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari natafuta wino wa ploter mashine coloured complete set ya six colour
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Hbr wana JF, Ninauza Photocopy mashine mpya ikiwa kwenye box lake. Bei ni 1,750,000 tu( Milioni moja laki saba na nusu tu), nina shida ya kifedha ya haraka. Mashine ipo Mwanza, kwa aliye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vbhh
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom