Hii wawezavaa sikio la kulia au kushoto. Ulimi Haji full waweza kuongea kwa saa 11 kabla chaji haijakwisha. Unaweza kuunganisha na simu yako kwa bluetooth ktk umbali wa hadi mita 10.
Epuka...
Acoustic guitar music mzur/ sweetest sound guitar mpya kwa bei ya kuokota 260,000/= Tu watu wa music njoo ukague u play uone kile nnachokueleza nyuzi mpyaaa guitar mpyaaa sounds sweetest serious...
Safari yangu ya Dar to Dodoma ilikuwa mujarabu sana utafikiri nilikuwa ndani ya Turkish airlines. Aisee sikudhani kama Tanzania kuna usafiri wa bus mtamu kama huu, very very classical.
Hakuna...
Oxford English Tutor available in Dar. Do you need to pass IELTS or TOEFL or improve your Grammar structures? We tailor lessons according to your individual needs. 0714010010
Powershots sx400
Ipo kwenye good condition
Location:MWANZA
Price 340k. Or exchange with OPPO f3 or Samsung s6 edge
Contact. 0674250886 whatsup tu
0735607699 SMS tu
Je una massage parlour na unakabiliwa na vifaa vya massage? He unasumbuliwa na matatizo ya misuli? Je unataka kupunguza ukubwa wa tumbo lako baada ya uzazi? Au unataka kulishepu tumbo lako na...
kwema ndugu..!! nlkua nahitaj mtu mwenye uzoef wapi naweza pata mashine ya kukamulia juice ya mua na aina ipi n nzurii na bei hua inatembea ngp kwa mpya dukani
Chukua fen iyo....
M nipe 35tu...
Nakupa na risit take maana mpya kabisa ...
Napatikana hapa dar bakheresa Manzese.
Sim 0688674585
Ni aina ya dolphin...
Haina tatizo lots nauza tu sababu ya shida...
Yauzwa True wireless stereo i7 TWS
Sh. 36,900 kwa pc moja ambayo inakuwa na earphone ya sikio la kulia na kushoto zilizotengenezwa na microphone zake kwa ndani, charging case na USB cable. Hizi...
Upo Iringa kikazi, masomo au biashara na unatafuta sehemu ya kukaa ambayo si hoteli. Basi njoo upate chumba kizuri na sehemu ya kupika. Tunapokea wageni wanaotaka kukaa kuanzia wiki moja na...
GREENHOUSE PROJECT, OFFER YA SIKUKUU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA,
Tunatengeneza greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika,
a) tunajenga za miti, ambazo hukaa kwa muda wa miaka 8,
b)...
Habari wakuu.
Nahitaji gari tajwa hapo juu kwa ajili ya kunisaidia kusafirisha vifaa vya hardware kutoka Ungalimited mpaka Moshi.
Pia naomba kufahamu kwa hapa Arusha wapi zinapatikana gari za...
Yeyote mwenye laptop ya kukodisha kwa miezi 3 tuwasiliane hapa hapa au PM
Iwe angalau na Window 7 or better
Iwe na uwezo wa kutunza charge angalau 1 Hr yaani battery yake nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.