Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hadi huu mwezi uishe lazima nije nitafute mchepuko humu niupeleke hata zenji Tunauza mifuko jamani Leo tu mifuko 20,000 Asante magufuli. Matajiri wa mabucha Leo wametupa raha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inauzwa Iphone 6 plain, mpya kabisa, memory ya 16 gb, full boxed, na kila kitu chake, plus free "screen protector na cover ya nje" New Iphone 6 plain for sale, Space gray in color/colour with 16...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bei imeshuka njooo na offer yako 0622388152
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wadau.... Simu used samsung galaxy s3 inauzwa Bei Tsh 120,000 (inaweza kupungua). Simu bado iko fresh haina tatzo lolote..na teyari nimeweka custom ROM ya (Lineage) na Android...
1 Reactions
3 Replies
985 Views
Habarini wapendwa,kama kichwa cha habari kilivyojielezea nahitaji hizo line kwa mwenye nazo tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wapendwa wangu,samahanini mimi ni mgeni hapa lakini nilikua na uhitaji kama kichwa cha habari kilivyoelezea mwenye navyo naomba tuwasiliane,asanteni ndugu zangu.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Sio Nyumba mpya mwenyewe nahamia mkoa kuna mpangaji 1 ENEO SIO KUBWA 200 SQM LIMEJENGWA LOTE NDIO MAANA BEI IKO CHINI Hapo mbele mvua imeharibu ngazi na tofali za pembeni. Tabata Kimanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Fanya laini yako iwe ya chuo Kwa bei cheeee kabisa . Ni tigo pekee tu Call me 07142....... HUDUMA KWA SASA IMEFUNGWA .......XXXXXXX au nitumie sms Malipo ni bahada ya laini yako kuwezeshwa...
12 Reactions
275 Replies
43K Views
Specifications Ram atleast 4gb Hard disc atleast 400gb Kwa laki mbili napatikana dar
0 Reactions
8 Replies
1K Views
~Full : AC ~Full documents ~Mileage :112000km ~Engine : ndogo ~Gari nzuri sana haina shida yoyote ~Price 6mil. . . Call 0654269099
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Za mida wakuuu....kama kichwa cha habari husika apo juu!! Njoo inbox tuyajenge
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wadau.. Nauza friji kama mnavyoliona kwenye picha hapo chini.. Halina ubovu wowote, ninalitumia mimi mwenyewe.. Kwa juu ni sehemu ya kugandishia vitu (freezer).. Bei 180,000...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za Kazi wakuu. Kwa wale wenye uhitaji Mkubwa wa mifuko wa karatasi ambayo unaweza wekea chipsi, samaki kavu au kaange, vitu vya dukani, Nguo kwa wenye maduka ya nguo, viatu, nk na wanaweza...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Storage 8GB Tatizo njia ya chaji, kutengeneza 5000/= Naiuza kwa 55000/= tu Ndio nayotumia
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu! Msaada tafadhali! Wapi naweza kupata monitor spare ya flatscreen inch 24 kwa hapa brand ya aborder model kama inanyoonekana kwenye picha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau. Nauza mashine yangu ya kuprint tshirt mpya kabisa kwenye box lake.. Nilinunua mwanzoni mwa mwaka huu kwa ajili ya biashara ya kuprint tshirt... Sababu ya kuuza nimeshindwa...
4 Reactions
24 Replies
15K Views
Hiki kiatu kimebaki pair moja tu kwa anayehitaji. Size 41 England size Color black Price 60,000Tzs
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jipatie matetea wa kienyeji kwa tsh 15000tu Tupo mbezi mwisho barabara ya kuelekea goba Call 0737486515 0764493544
0 Reactions
1 Replies
690 Views
Wakuu naomba kujuzwa bei ya gunia la mpunga kwa dodoma na morogoro imefikia sh ngp?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom