Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau nauzaSIMU TABLET hii Iko vizuri haina tatizo Ni TABLET samsung galaxy TAB3 Inatoa huduma zote za simu. Iko dar BEI 200K Mawasiliamo 0755102030 ATTACH=full]1112328[/ATTACH]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, naomba kufahamishwa reliable company inayosafirisha mizigo kutoka UK kuja TZ. Shukrani in Advance
0 Reactions
3 Replies
903 Views
Bei inapunguaa 2RAM, 2GHZ, 60GB HDD bei laki na nusu. 0766 10 27 10
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi nimpiga picha na pia na tengeneza video kifaaa change chakazi kimealibika nampango wakununua kimpya upo sehema sijatimiza kiwango staikii naitaji kukudisha camera DSLR ikiwa Nikon au canon...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Waungwana!Nahitaji Betri ya Camera Kama Zinavyoonekana Hapo!Check Me check Me Out Inbox Kama Unazo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Camera yangu Samsung NX1000 lense yake size 28 - 50mm imepata shida, na sitaweza kuitumia tena. Natafuta lense nyingine. Iwe size yoyote, iwe kit lense au prime lense. Cha msingi ni maelewano ya...
1 Reactions
1 Replies
769 Views
One stop shop for all accessories
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Model; Toyota Blit Year; 2004 Cc; 1980 Kilometres; 160,705 Reg no; DED Price; million 8 (nego) Location; Mbeya town. Condition; Clean (no accidents) Ina space kubwa kwa nyuma kwa wanaopenda gari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau.. Nauza bembea ya watoto.. Anaweza kubembea mpaka mtoto wa miaka 7.. Bei 150,000...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Shamba la Miti lenye ukubwa Wa ekari tano pamoja na ardhi vinauzwa kwa pamoja ,shamba linapatikana iringa mufindi,(luhunga) aina ya Miti ni misindano(paina)umri ni miaka mitano being ni million...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jamii, ninauza gari tajwa hapo juu, ni tata 909 bus, ina seat 40 na ni nba DD, 45milion...karibuni kwa mazungumzo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Eneo la kazi ni Mwanza Mawasiliano:_0766165117/0685096617 Sifa:Awe mwenye cheti cha ADDO,pamoja na cheti cha Taaluma ya Afya(ni muhimu)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD Dell Core i5 2.50Ghz processor RAM 8 GB~ Expandable to 16 Gb. SSD 128GB Intel Hd graphics Battery life; 4 to 5 hours Very slim and portable Windows 10 ACTIVATED...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuanzia tarehe 25 Apr 2019 nategemea kuanza kuvuna alizeti aina ya KENYA FEZA zaidi ya hekari 20 na mbegu za kienyeji zaid ya hekari 20 pia.Makadirio na kupata alizet aina ya kenya feza gunia 200...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nina platform yangu nimeitayarisha kitaalam na inaweza kutoa huduma nzuri tu kwa ateja mbalimbali waliopo nchini Tanzania. Kutokana na sheria mbalimbali za kuhusu watu wenye blog, websites...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
[emoji95]FURSA FURSA[emoji95] Karibuni katika fursa kupitia kampuni ya ELNET AFRICA,iliyoanzishwa nchini Tanzania. ambapo imeandaa mfumo ambao humuwezesha mjasiriamali kuongeza kipato au mtaji...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Je! Ungependa kujiunga nasi kwenye LIKIZO ndani ya meli kubwa ya kifari ya "FREEDOM OF SEAS" mwakani? Safari itakupatia Fursa ya kutembelea miji 3 mashuhuri duniani...Tutaanzia Barecelona, SPAIN...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu? Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar? 1. Casio illuminator W-96H 2. Casio Telememo illuminator AW-81 Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Okoa muda, okoa pesa na ukuze biashara yako kwa kuhudumiwa na busiminet BUSIMINET COMPANY LIMITED S.L.P 12659 Simu: +2557 65 90 10 93 / +255782191905 Email.busiminet@gmail.com...
9 Reactions
229 Replies
31K Views
Back
Top Bottom