Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jamaa katupaisha sana maana hata matangazo yetu hayaonyeshi uzuri aliouonyesha mshikaji
2 Reactions
2 Replies
705 Views
Naombeni msaada kwa anayefahamu ukumbi au bustani nzuri ya kufanyia Harusi dar es salaam, yenye uwezo wa kuingiza watu 450-500 (joint wedding). Isiwe na masharti sana ya kuchukua kila kitu hapo...
0 Reactions
58 Replies
17K Views
Kama unasumbuliwa na MBU na WADUDU wote wanaoruka nyumbani kwako suluhisho limepatikana. * Ni kifaa kinachotumia umeme kidogo sana, unapokiwasha taa zinazowaka kwenye kifaa hicho huwavutia wadudu...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Mwenye kujua za za lenovo zinapatikana wapi jamani.
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Habari za wakati huu Tunauza viatu vya kimasai jumla na rejareja.. Jumla 8500 Rejareja 10000 Tupo Arusha mjini Wasiliana nasi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nyumba ya Kupanga, self yenye jiko sebule na master ....price 150000-200000
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Kunaitajika chumba kimoja na Sebule maeneo ya Buguruni. Maelezo muhimu: 1.nyumba iwe kwenye mazingira mazuri. 2.nyumba isiwe na wapangaji wengi. 3. Kuwe na maji ndani na umeme au kama akuna maji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeweza jua namna gani naweza kupata soko bora kwa ajili ya simbilisi naombeni mnisaidie na jinsi ya kupata soko hilo
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu nina iPhone 6s Plus ninaiuza but appe id ni y mtu mwingine alisahau password kama hutojari njoo inbox bei 550k
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tunauza sembe na Dona kwa ujazo wa kilo 25(ambao ndo ujazo wa juu na kilo 50 Ambao ndo ujazo wa chini) Bei zetu ni poa na bei zinabadilika kutokana na misimu. Kwa sas sembe kg 25 ni Tsh 25000/=...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Napokea oda zote kubwa na ndogo. Mifuko imara imetengenezwa kwa cotton na paper materials.0757066208 Inaanzia tsh100 pc 115.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza simu aina ya iphone 6, 64gb kwa 650,000 brand new in a sealed box. Kwa information zaidi wasiliana nami.
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Alphard ya mwaka 2003 Cc fuel 2360 Mileage distance 70,000km Right hand stearing Automatic Transmission Color........ pearl white Bei ni Tsh.15.9 milioni.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Tunauza vifaa vya kujenga green house kama vile green house profile;green house polythene;insect net;shed net Tunauza pond liner au dam liner kwa ajili ya kujengea mabwawa Tunauza vifaa vya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamu je mpunga wameanza kuvuna huko Mbarali? Vipi kuhusu bei ya gunia la mpunga huko kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki. Shukran.
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Dell EG400 HDD 320 Ram 2 Dual core Betty bovu Bei 230,000/= 071632141000
0 Reactions
9 Replies
1K Views
HDD 320 Ram 2 Proce 2 Bettry 3h Haina tatizo lolote. 07163214100 Bei 260,000/= | Tanga
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo 1. Aina ya kampuni: clearing and forwading 2. Imesajiliwa: Jamhuri ya...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom