Pc yangu imepata hitilafu.
Nikiiwasha inawaka kama kawaida.
Tatizo ni kwamba haioneshi mafail, inaonesha kasa na hii kasa inamove kama kawaida lakin haioneshi kitu kingne zaid ya mwanga tu.
Kwa...
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapo taka kulipia kitu online mfano Nimeiona bidhaa AliExpress au Amazon kuilipia inakuwa ngumu kidogo ambapo inatakiwa niwe na VISA account. Lakini sasa baada...
Sasa Mkazi wa MWANZA unaweza pata dagaa toka ziwa Nyasa na KAHAWA safi toka wiliayani Mbinga - Ruvuma popote ulipo ndani ya jiji la MWANZA kuanzia sh.2000, 5000 nakuendelea with free deliverance...
Chumba master na sebule bei laki na nusu unalipia kwa miez mitatu(450000)
Tyres chin,madirisha alminium na parking ipo
Dalali ni Kodi ya mwez mmoja
Nicheck 0656 548919
KAMA UKO DODOMA NA UNATAMANI KUUJUA UHASIBU PRACTICALLY, BASI HII ISIKUPITE. NI KUANZIA TAREHE MOJA JUNE 2019. NI PALE ST. JOHN UNIVERSITY TOWN CENTRE NDANI YA JIJI LA DODOMA (NI PALE MJINI KATI...
Habari wana jf.
Naomba msaada wa kitabu cha huyu mzee wetu mjasiriamali aliyefanikiwa Mzee Mengi.Ingawa hatupo nae ila mawazo na fikra zake zitaendelea kudumu vizazi na vizazi.
Kama nitapata soft...
Mafundi wa automobile electronics hapa dar,
mafundi wanao Diagnose kwa kutumia computor alieisomea automobile electronics at least diploma kwenda juu na anauzoefu wa kazi yake...
Wakuu,
Vijana ndio nguvu ya nchi na tegemeo kusukuma maendeleo ya nchi kuanzia ngazi ya familia. Taifa lenye vijana wacha Mungu kikamilifu litajengwa kwenye misingi bora na kuepuka maovu mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.