Wakuu nahitaji mawasiliano au kuelekezwa mahali vilipo viwanda vya kutengeneza vyakula vya kwa mikoa ya dar na pwani.
Kwa mwenye kujua tafadhali nijulishe au nitext kwa namba. 0626 646536...
Tunauza Persia cat | #Paka wa kizungu
One of the most expensive breed of cat
#Persian #persiancat #Persiancattz
Kupata huduma wasiliana nasi kupitia
simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765...
Nauza vifaa vya salon ya kiume,vitiviwili vya kisasa,vioo viwili (vikubwa),kitanda cha kuoshea USO na kichwa pamoja na sink lake(plastic)sofa la watu 2 vi shelf vya kioo viwili vya kupachika...
Habari za muda huu wana Jukwaa.
Ni matumaini yngu mu wazima wa afya, na kwa wale ambao tuko kwenye mfungo, basi Mungu aendelee kutufanyia wepesi tuwe na mfungo wenye kheri kabisa.
Sasa leo...
Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd kwa mara nyingine inakuletea Jukwaa la Fikra awamu ya nne ambapo tutaangazia na kujadili KILIMO na MAISHA YETU. Ni Tarehe 23, Mei 2019 katika Ukumbi wa...
Tafadhali yeyote anayeweza kupata mawasiliano ya wahudumu wa Makumbusho ya zama za mawe ya Isimila mkoani Iringa. Tafadhali Sana wadau.
Nimehangaika sipati, hawanawebsite, wala blog.. yaani hadi...
SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD
Model: Dell inspiron Series 3000
Processor: intel core i5@2.2Ghz
Harddisk: 500Gb
Ram: 4Gb
Screen size: 15.6inch
Dvd slot: Available
Battery: 4hrs
Runs on Windows...
Compressor size tofauti tofauti zinauzwa.
Ujazo wa litre 20 = 250,000
Litre 40 = 400,000
Zinapatikana Salasala, Mbezi beach.
Kwa mawasiliano call or text +255788742190
Tupige vigelelegeleeee,wapi nduru wapi nduruuuuuuu,ikumbukwe kwa miaka minne tu utawala wa awamu ya tano umejenga viwanda 4,000 vinavyotoa ajira 36,000 yaani kwa ratio ya watu 9 per kiwanda,ni...
•Genuine samsung AKG earphone available now
•came with S10,S10e,S10+
•two colors now ( black&white)
•Quality sound and music
•Bass in quality and no noise at all
•Its durability is high and...
Habari za uzima WAJASIRIAMALI wenzangu nafikiri mpo Safi kiafya, labda niende Moja kwa Moja kweny point kuntu ya kuinua uchumi wetu WAJASIRIAMALI,
FACEPOZZ OPEN SHOES MANUFACTURERS, wanakuletea...
Kutokana na kukatazwa kwa mifuko ya plastic nmekuletea mifuko mbadala inayoweza kubeba mpaka vitu vizito.kama unahitaji nicheck kwa number hii 0757066208.
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
Kwa waliopo Dar gharama ya usafiri juu ya mteja,,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.