Msaada kwa anaejua duka maarufu Dar es Salaam ambalo ni special kwa ajili ya kuuza pembejeo za kilimo na ujasiliamali tafadharini ndugu zangu anipe mawasiliano yao hapa!
Eneo la ukubwa wa Ekari 1 DAKIKA 10 kutoka main road (NYERERE RD) nyuma / karibu kabisa na moshi bar linauzwa Tsh. 150,000,000/= bei maelewano (NEGOTIABLE). Eneo lina NYUMBA YA VYUMBA VITATU, eneo...
Habari humu, nauza mashine ya tofali za block, bei ni 2.2m mpyaa kabisa, inatoa tofali mbili za inch tano na inatumia umeme so ipo na motor yake. Anayehitaji tunaweza zungumza.
Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo Dodoma eneo la Mlimwa “c” wengine wanapenda kupaita kwa Waziri mkuu
Kimejengewa kabisa na msingi.
Bei ni nafuu sana.
Kama utakuwa interested wasiliana nasi...
Hello,
I am an expert on the application of GIS and Remote Sensing in Land Use, especially for Agricultural Production in Urban and Rural areas. I hold MSc. Natural Resource Assessment and...
Kiwanja kinapatikana kinyerezi kwenye barabara ya lami kuelekea SONGAS
Maelezo husika
kiwanja kina sqm 612
Kipo umbali wa meter 800 kutoka barabara kuu ya (Kinyerezi/malamba mawili)
Kiwanjo kipo...
Naitaji kupanga apartment kwa siku moja tu, yenye chumba na sebule na full furniture
Nitakuwa na wagen wangu 15 ambao tutakuwa na meeting kidogo
Chakula na vinywaji vyote tutanunua hapo hapo...
Habari gani Wana JF
SCHOOL MANAGEMENT SYSTEM inahitajika. Kwa wale ambao watakuwa hawajanielewa, ni mfumo unaorahisisha mambo mengi katika shule kama vile udahili, kuajiri, rekodi ya...
Good news for Electrical Engineering students taking diploma/undergraduate degree/postgraduate degree courses. You can now access High Voltage Engineering revision questions online. The questions...
Simu ni used yes it is and Since I have gotten brand new one naitoa hii sio kwa kugawa freely ama kuitupa bali kuiuza kwa bei ya Wana.
Simu ni 32ROM, 4ROM,betri imesimama chaji ni 12hrs (ajabu...
Viwanja vizuri sana vinauzwa eneo la Tabata Segerea, vipo karibu na Ambasador sekondari au Segerea Seminary.
1. kina urefu =38 mita na upana =18 mita.
Bei ni Tshs.25m
2. kina urefu =30 mita&...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.