Ungependa kumiliki mtandao wa kijamii? Hii ndio nafasi yako ya kuwa na mtandao wa kijamii wenye watumiaji tayari.
https://www.lenkeer.com
Application pia ipo.
550,000/= TZS
Biashara ya pharmacy ni biashara kubwa na inahitaji umakini katika kuifatilia, changamoto zilizopo zimepata suluhisho na e-store mfumo maalumu wa kidijitali kwenye duka lako utakao kuhakikishia...
Wanaopinga swala la mapdre kuacha kuoa nawashangaa sana je wamewahi kusoma haya maandiko yanayoelezea msimamo wa Yesu na Paulo katika vitabu hivi;
Maneno ya Paulo Mtume:
1Wakorintho 7:1.8
"Basi...
FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE
#Kambare ni aina ya #samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha #mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko #perege na aina nyingine za #samaki...
Habari ya uzima!
Nikiwa huko kwenye mitandao mingine nimekutana na bei ikanishanganza nikawaza kama ni hvyo naweza miliki ndiga hii
$1250 hii ni sawa kweli gali kuuzwa takribani milion mbili na...
Mwenye Infinix S4 iliyotulia
micheki kwa namba hiii 0715 56 41 62
Bajeti Nina laki Tatu Cash 300,000/=
Design
Dimension: 156.7 x 75.3 x 8.3 mm
Material: Glass
Weight: N/A
SIM: Dual Nano SIM...
Karibuni wanawake kwa wanaume kwenye semina kubwa ya jinsi gani unaweza kupata Uhuru wa kifedha kutokana na mazingira yaliyokuzunguka.
Ni tarehe 23 May 2019 ukumbi wa Lion hotel sinza kijiweni...
Nyumba ziko mbezi beach kawe, zipo mbili kwenye compound ,1 vyumba 3 kimoja self nk
2. vyumba 3 vyote self nk
Ni mtaa wa pili kutoka old bagamoyo maeneo ya Renbow hotel
Size plot 3500 sqm.
Bei...
Habari wakuu.
Mm ni mhandisi (mtaalam) wa planning na design kwa ajili ya miradi ya umwagiliaji hasa mifereji , drip na sprinkler systems kwa bei sawa na bure , na ni baada ya kazi.
Naandaa...
Wakaazi wa Igunga na viunga vyake napenda kuwatangazia soko LA kuku wa kienyeji na chotara linapatikana. Hii ni kwa kuku wa miezi 2 - 3 bei si chini ya 5000 na maongezi yapo.
Njoo PM nikupe...
Nilipopataamshahara wangu wa tano nilikuwa na idea nyingi za kuanzisha biashara ya kuniingizia kipato cha ziada na baadaye ikue kufikia kampuni kubwaa.
Nikawa nafuatilia makala mbali mbali za...
Nunua nguo nzuri zilizoshonwa kwa mikono (hand made) kwaajili ya wadada, watoto na wamama, unachoona ndio utakachopata. (Tazama picha hapo chini)
Pia unaweza weka yako ili ushonewe, nguo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.