Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta Landrover Defender hata kama haitembei lakini ambayo haijachoka sana.Mwenye nayo anipe bei tufanye biashara chap.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Fridge aina ya LG inauzwa pamoja na fridge guard yake bei ni laki 4.5 bado mpya kabisa.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Infinixy zero 4 plus specifications Optical image stabilization FingerPrint ID recognition Deca-Core 2.1 GHz with Helio X20 (MT6797M) chipset and Mali-T880 20.7+13MP rear and front facing camera...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
[emoji621]Tsh. 150,000[emoji621] Zina ukubwa wa 180x140x60Cm... Wanaweza kuingia watoto mpaka watatu kwa wakati mmoja. Zipo za Kijani na Bluu Unapatiwa na electric pump bure. Free Delivery...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunauza system inayoweza kuguide walinzi katika utendaji wao wa kazi, system hii inakuwezesha kuwapangia walinzi kuwa ndani ya muda flani anatakiwa awe amatrol point A,B,C,D, e.t.c na utapata...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Model: LENOVO IDEA PAD Z585 Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached) Harddisk: 500Gb Ram: 4Gb Screen size: 15.6inch Dvd slot: Available Battery: 5hrs Display 15'' Runs on Windows 7...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza nahitaji hiyo machine kwa anaefahamu wapi zinauzwa au anauza nitashukuru kuelekezwa. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Godoro 6*6 inch 10. Dressing table ya mbao droo nne Godoro jipya dressing table imetumika....vyote 230000. Mawasiliano 0620 250321
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Iwe namba B.. ama C..na iko po. Niko dar, tuwasiliane 0763124621, 0782177775
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nahitaji chumba cha kupanga chenye uzio, mita ya peke yake, au isyozidi watu 2, maji ya kutosha na maeneo kijitonyama makumbusho, tegeta tank bovu, mwenge. Bei yangu elekezi mwisho 100000 @...
0 Reactions
7 Replies
974 Views
fundi gypsum Ukiitaji nione Kwan namba 0718888212 075577106
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu inahitajika pikipiki aina ya boxer yenye hali nzuri bajeti ni 800,000 Kwa ambaye anayo tuwasiliane pm kama unayo iyo machine njoo Pm tuyajenge
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, mimi nipo mkoa wa Dar es salaam naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi nitapata mashine ya kusagia juice za miwa zenye uimara na range ya bei zake, pia kwa ambao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu natafuta exhaust system ya Honda CR-V 1998 ikiwa complete, front, centre and Rear muffler pamoja na catalyst converter yake, anayeweza nielekeza pa kuipata hata kwa contacts nitashukuru sana.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni ushauri namna ya kupata viroba vitakavyokuwa na nembo yangu kwa ajili ya kupack unga wa sembe. Nimejaribu kuwasiliana na baadhi ya makampuni wanataka minimum oreder ya 2m, na...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Dear our customers, Greetings from Garnite Company Limited. Kindly be informed that we are currently clearing our old stock for new arrivals: 1.Toyota Harrier (2 units) - Production Year - 2003 -...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Korosho kilo moja ni 24,000/= Asali ya nyuki wakubwa mbichi ni 15,000/= Asali ya nyuki wadogo mbichi ni 40,000/= Juisi ya asali ya nyuki wadogo iliyochanganywa na virutubisho kama saba pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Naitwa JUMANNE MWITA mwenyeji wa KAHAMA kwa sasa niko BUKOBA. Habari za majukumu, kwa jina naitwa Jumanne & Mwita mkazi wa kahama kwa sasa niko Bukoba Niko huku Bukoba kwa sababu maarumu ambayo...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Habari wakuu Ninauza sofa kama zinavyoonekana hapo bei 160k, location Dar Cont: 0625649078 Nicheki pm, kwa call au message za kawaida
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear our customers, Greetings from Garnite Company Limited. Kindly be informed that we are currently clearing our old stock for new arrivals: 1.Toyota Harrier (2 units) - Production Year - 2003 -...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Back
Top Bottom