Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jipatie CCTV COMPLETE package camera KIT Kutoka kwetu gharama zetu ni nafuu na mafundi wa uhakika 4CCTV camera kit kwa 450000tu 8CCTV camera kit kwa 750000tu Tupigie 0715473462 Located makumbusho...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Dell EG400 HDD 320 Ram 2 Dual core Betty bovu Bei 230,000/= 0716321000 | Dom
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Laptop Lenovo G50 Duo core Ram 4Gb Hard disk 500Gb Bei [emoji117] 280,000/= 0716321000 | Dsm
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Habari zenu wakuu. Naombeni kujua bei ya conteina la futi 40 kwa hapa Dar. Kama kuna mtu analo au anamjua mtu yeyote Mwenye nalo na anauza naomba nisaidiwe kupata namna ya mawasiliano ili niweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waku samahani nimetafta mafuta ya kilainishi weeee(ky jelly)pharmacy zote cjapata. Sasa anayeyajua mafta mengine hodari kwa kulainisha mfano wa hayo anijuze wakuu ili nipate kufanikisha zoezi...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu wadau! Natafuta Nyumba Yenye Masterbedroom, Sitting room, kitchen iwe ndani ya Fensi maeneo ya Kuanzia Tegeta kwa ndevu hadi Mbezi African lakini iwe karibu na Barabara ya New...
1 Reactions
5 Replies
820 Views
Njiwa taus ni njiwa kutoka nje ya nchi usa na arabian country njiwa hawa ni crossing ya taus na njiwa hawana magonjwa rahisi kuwafuga wanapendeza lengo la ni urembo thamani yake mpaka laki tatu...
1 Reactions
37 Replies
14K Views
Wakuu habari zenu. Nina njiwa manga,nahitaji kufahamu soko lake kwa hapa dar es salaam ili niweze kupeleka kwaajili ya kuwauza. Mawasiliano#0742191819
0 Reactions
6 Replies
3K Views
As Salaam alaykum ndugu zangu. Tegemeo langu mko katika hali njema katika mwezi huu mtukufu ya ramadhani. Mara kwa mara nina fikiri kuwekeza pesa kwenye miradi mbalimbali lakini nina breki kubwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu na majaa, mimi nauza kiwanja changu kipo Kigamboni Mwongozo kina ukubwa wa eneo ni sqm 1345 kipo sehemu nzuri pia ni karibu na bahari, umbali kutoka baharini mpaka kwenye kiwanja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Guys mwenye kuhitaji usafiri kwa bei ya chee. Gari ipo musoma mjini, unaweza kunitafuta kwa namba 0782183441 Gari nauza kwa tsh 3,500,000/= fixed, hakuna maelewano. Gari inatembea haina tatizo...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Nanunua kwa 5000/= kwa trey moja. Karibu tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
788 Views
  • Closed
SOLD. Acer Chromebook Screen size: 15.6" RAM: 2GB HDD:16 GB can be extended with an SD card Processor: 1.60GHz Battery : More than 10 hours SD card Port USB port Very Slim SOLD
0 Reactions
2 Replies
690 Views
MIZANI au SCALE inayotumika kupimia uzito wa madini ya dhahabu na silver na madini mengineyo. * Inapima kuanzia uzito wa gram 1 mpaka kg 5. * Mashine ni mpya kwenye waraka wake na inatumia betri...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Poleni kwa majukumu wakuu Nimefungua akaunti NMB chapchap, nimeenda kwa wakala leo kuweka pesa wameniambia huweza kuweka pesa kwa namba ya simu na wakati wamenipa namba ya simu iwe kama akaunti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Naprint tshirts zenye ujumbe wowote za ofisini, kikundi, birthday, msiba nakadhalika. Tshirts za Quality nzuri na Bei nzuri pia Namba ya simu 0682-820202 Elizabeth Asanteni
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta Persian Cat kwa anayejua Au aliyekuwa nao.. Msaada tafadhalii
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza kiwanja kikubwa na kizuri kilichopo karibu kabisa na barabara ya mtaa.Kiwanja kina ukubwa wa nusu hekari.Kipo KIGAMBONI uvumba.Bei ni mil 35 na maelewano yapo.Kama umependa njoo 0786167143...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza Eneo lenye nyumba mbili za kuishi..Eneo liko KIGAMBONI kisiwani .Nyumba zote zimeisha na zina watu wanaishi.Eneo lililojengwa nyumba lina ukubwa wa robo hekari.Bei ni mil 25 tu na maelewano...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
HDD 500 RAM 4Gb PROCESsOR 2.5 Batterry 4hr+ Core i3 Ofa hii ni kwa kesho jumamosi tu. Njoo fasta na 350000. Hakuna punguzo. Wasap : 0685044444
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom