Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji iyo pump ya kupandisha mafuta kwa ajili ya mashine yangu, mWENYE anaeuza .tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Habarin wanajukwaa, Nahitaji laptop aina ya Hp au Dell kwa matumizi ya ofic, sifa betri iwe inakaa na chaj, hdd haimati kabsa..! Bajeti yangu ni sh laki 3.5 - 4 kamil Napatikana Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kampuni au mtu binafsi mwenye mahitaji ya kuunda mfumo wa automation (electronics automation), kwa ajili ya mashine au mitambo tuwasiliane. Tunaunda mifumo ya kidigitali kwa mashine zote mf...
1 Reactions
0 Replies
788 Views
Habari zenu wana JF, Mimi nauliza bei ya mbegu za zao mchikichi ni shingapi?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
kiwe chumba na choo ndani chenye nafasi ya kutosha, bei kuanzia 70000-80000 kulingana na chumba nitafute kwa namba hii 0622544644
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Hello wapendwa mnaopenda kwenda na fashion.Ninatoa darasa online Kuhusu kutengeneza Kofia hizi zinazowapendeza Watoto na Akina mama. Hauhitaji cherehani, kinachohitajika ni Uzi, sindano, Mkasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna dalali yeyote wa viwanja humu aliyepo Dodoma? Nina shida ya viwanja. Tuwasiliane PM
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Fundi gypsum design 0718888212 0625577106
3 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini wana jamvi... kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, mimi nilikua nasumbuliwa na sukari kwa muda kidogo (sukari ya kupanda). kuna tiba ya asili nilipewa imenisaidia sana sasa hivi najiona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninauza mashine ya tofali za block, inatoa tofali mbili za inch tano, inatumia umeme na nitakupa na mota yake, bei 2.2m majadiliano yapo pia kwa mteja wa uhakika.
0 Reactions
4 Replies
924 Views
Jipatie viwanja vilivyopimwa kwa matumizi mbalimbali na kwa bei nafuu sana:- Viwanja vya makazi - Tshs. 6,500/= kwa sqm Viwanja vya biashara - Tshs. 12,000/= kwa sqm Viwanja vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu ni used yes it is and Since I have gotten brand new one naitoa hii sio kwa kugawa freely ama kuitupa bali kuiuza kwa bei ya Wana. Simu ni 32ROM, 4ROM,betri imesimama chaji ni 12hrs (ajabu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
-Raum old model -Cc 1490 -Low in mileage Fuel use-petrol Mode of transmission-Automatic -gari ni nzima na inatembea -iko nkuhungu dodoma BEI-4,500,000/= MAWASILIANO 0767833496 0622111186...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
iMac core i7 Ram 8 gb,ukitaka nakuongezea mpaka 16. HDD 1 Tb. Graphics 7 gb Lcd 21 inch condition yakibabe(refurbished) from UK. Inafaa kwa Graphics designers, Architectures, video editors na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF natumai nyote mko poa na mambo yanaendelea kama kawaida... Naitaji kuku wa 500 wa mayai walio maliza kutaga ambao wanauzwa kwa ajili ya kitoweo, kama kuna mfugaji alieko ndani ya...
1 Reactions
2 Replies
792 Views
Hp laptop core i7 1 Tb hdd 8Gb ram And graphics (Angalia picha) Charge 5 hours Original adopter plus Bag DSM
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi, Natafuta English grammar ambayo ni sahihi kama kuna mtu ana-cover au picha ya kitabu anitumie nikatafute book shop au anielekeze chanzo kingine kama vile PDF. Naheshimu sana...
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Habari Wana jf ,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza na chumba kipo maeneo ya mabibo jirani na chuo Cha NIT chumba ni kizuri mazingira ni mazuri na usalama wa kutosha hakuna mwenye nyumba wapo...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Ninashida na matairi ya Goodyear (215/70/R16) Ningependa Lumia yanauzwa shilling ngapi na wapi kwa dar
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Habari wadau, natafuta sehemu wanauza karatasi za khaki za kutengeneza mifuko mbadala kwa Dar. Na nikipata mchanganuo wa gharama nitashukuru sana.
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom