Iwe Complete,
RAM 2GB,
HDD Kuanzia 180GB - 250GB,
Monitor Kuanzia inchi 17,
Isiwe na physical wala technical damage.
Uwe unaimiliki kihalali.
Iwe Dar.
Bajeti ni 150,000/=.
Kama unayo...
Habar zenu all members, nawakaribisha nyote nafanya biashara ya kuprint t.shirt, vikombe, kofia napatikana mwanza mtaa wa rufiji karibu na soko la milongo naomba support yenu. Mteja kwangu ni...
Bei 150,000
Used but New
Ni toleo lile la kwanza...Ili haribika Kioooo so nimebadilisha baada ya kupata Kiooo ORIGINAL kwenye NOTE 1 nyingine so kioo kilichowekwa ni vilivyokuja na simu sio hivi...
Shalom Wakuu na habari za Kupambana huko.
Husika na kichwa cha Habari.
Ninauza kamera yangu ya Kisasa aina ya Nikon D90.
Sababu ya kuiuza ni kwamba nilimnunulia kijana wangu October mwaka jana...
PIKIPIKI HONDA 250 INAUZWA.
Made:Japan
Cooling system (rejeta)
Speed 180
Sports rims
Showcup za upepo
Brake: disc both side
V-twin engine (two in one)
Full documents,in good condition...
Habari wadau....nauza tank la mafuta likiwa katika hali nzuri kabisa.Halijawahi kutumika.Ni yale ambayo yanafukwa chini ama niseme yanayochimbiwa chini.Lina ujazo wa lita 13,500/= na urefu wa ft...
NIGHT EYES Car Vehicle Anti Burglar Alarm Security Keyless Entry Siren with 2 Remote. Brand New and High Quality.
Main Functions:
Anti-hijacking by drivers door,
ACC ON and remote control,
Output...
HEATER ZA UMEME KWAJILI YA KUWAPA JOTO VIFARANGA
Hizi ni #heater za #umeme zinazotumika kulea #Vifaranga
Badala ya kutumia #mkaa au #gesi unaweza kutumia hizi heater kuwapa joto Vifaranga wako...
HOW TO SEE YOUR RESULTS: Open the DV
and you will see CHECK STATUS. You will
If you are selected, you will be given new
AF for Africa and other starting letters for
For those who applied for...
For sale Subaru forester new model 2008 inauzwa
Ipo arusha kwaanaye hitaji tuwasiliane
Bei: Mil 24
Tafadhali kwa maelezo zaid njoo
Au phone number +255 757 191 906
PM
+255 757 191 906
Tuna deal na upigaji picha, kushoot video za wedding, sendoff, k.party, birthday party,ubatizo, mikutano na vitu vingne vingi vinahusiana na upigaji picha karibu tukuhudumie hutajutia maamuzi yako...
Kuanzia sasa kwa mahitaji yako ya Clearing & forwarding, Documentation,
utoaji wa Magari,
Kontena +
mizigo ya aina yoyote katika bandarini ya Dar es salaam na Airport tuwasiliane...
Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati.
Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33.
Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.