Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Simu Tecno K7 inauzwa Bei 160k (laki na 60) Location dodoma Namba PM
0 Reactions
5 Replies
937 Views
Nahitaji photocopy machine nzuri naomba picha na bei zake ahsante
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari, Kuwa wakala wa tollofy application na upate asilimia 40 ya malipo chini ya kampuni ya Tollofy Technology Company Ltd. Tuma maombi yako kwa Whatsapp kwa kuandika jina lako kwenda namba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari; Je wewe unapenda kuwa muwekezaji katika startups? Je una uwezo wa kuwekeza kati ya TZS 25000 kwa mwezi hadi TZS 150,000 kwa mwezi? Je unaweza kuwekeza kiwango hicho cha Pesa kwa kipindi...
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Habar km kichwa cha habar kinavyojieleza. Mm ni mdada wa miaka 22 natafuta eneo lenye mzunguko wa watu especially wadada tafadhali kwa alieona au anaefaham sehem kama hiyo tafadhali nsaidie...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
#Je unahitaji kuandikiwa Business Plan? #Je unahitaji kuandikiwa Business Proposal? #Je unahitaji ushauri wa biashara (Wazo, Biashara inayoanza, biashara ndogo na biashara za kati) Wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Nauza Nguo za HARUSI - USA bei poa (bargain). Size (UK, US) No. 10, 12, 14, 16. 0786275045
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habarini za majukumu! Ukiona mtu analia ujue kuna jambo. Naleta kwenu ombi la msaada ili nipate angalau unga wa kula ili familia yangu nayo isherehekee sikukuu ya idd kama familia zingine...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Laptop kutoka Dubai mzigo umeingia njoo ukague jibebee yako ram 4 Gb HDD 500 processor i5 Kwa Laki tano kila moja bei inapungua kwa serious zipo piece 20 sifa nyingine kuu kioo chake unaweza Ku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NAUZA PRAWNS FRESH KILA SIKU MPAKA KUFIKIA SAA SITA MCHANA . BEI INATOFAUTIANA KUEINDANA NA SIZE YA PRAWNS. MWENYE UHITAJI TAFADHALI WASILIANA NAMI KUPITIA NAMBA 0763221924 WEKA ODA YAKO MAPEMA ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TYPE:TOSHIBA RAM:4GB STORAGE:500GB PROCESSOR:1.73GHz PRICE: 600,000 WITH BATTERY(battery 2.5hrs) 350,000 BILA BATTERYMachine iko vizuri kabisa nakupa na risiti bado iko kwenye warranty...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wakuu nimekuja kwenu natafuta geti kama kwaajili ya flemu za duka pia ambaye anauza nivizuri angetoa na bei yake flemu zenyewe zina upana wa futi sita na urefu wa futi Tisa.
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Wakuu salaam zenu. Natafuta miche au mbegu ya Minazi Mifupi ya kisasa. Ile minazi inayoanza kutoa nazi ikiwa ni mifupi kabisa. Mwenge kufahamu inapopatikanika hiyo miche au mbegu anifahamishe...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Nahitaji line ya uwakala ya MPESA, Kwa haraka sana. maana niliyokuwa natumia imepata matatizo, wateja wangu wanalia. Mwenye kuweza kunisaidia tafadhali. Mawasiliano PM
1 Reactions
13 Replies
1K Views
NAUZA KIWANJA CHANGU MBEZI MSUMI CHENYE UKUBWA WA 21 X 20. NISEHEMU NZURI YA KUJENGA NA KUHAMIA, UMEME UPO NA PANAFIKIKA KWA GARI BILA SHIDA BEI NI MILLION 7.5M NICHEK 0762295954 KWA MAELEZO ZAIDI
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfano ndio uooo.... Bei 1000-1500...zpo nyinge ainayoyote utakao.. Napatikana dar bakresa balabala ya mdizin... Ni basically blowse za kike Namb-0688674585
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Natafuta Samsung J7 Pro Kunduchi 0719210905 Offer 300,000/
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunatoa huduma ya uchimbaji visima na kufanya hydrogeological survey. Gharama ya hydrogeological survey na kuchimbaji visima kwa mita hutofautiana kulingana na umbali wa site. Tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wadau..nahitaji korosho.Kama kuna mtu anadeal na hii biashara au anajua mtu au kampuni inayodeal na hii biashara pls tuwasiliane kwa namba 0686 666666.Asanteni
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nauza printer aina ya HP LASERJET M127 fn, ina; print, copy, scan, fax na wireless (e print), pia Ina feeder juu. BEI Tsh. 450,000/= Note: ilikuwa kwa matumiz binafsi. Mashine nyingine ni...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Back
Top Bottom